Nchi za Kiarabu muda wa kuishinda Israel ni sasa

Turkey hawezi kufanya kitu maana si kichaa, mtu mbaya ni Iran
Wote hawawezi labda Israel aanze mashambulizi
Ninavyojua kila mmoja anaangalia outcome ya vita je anapata nini baada ya vita
Iran amewekeza sana kwenye jeshi na hawezi kupigana bila kuchokozwa

Hizi kelele za Israel kuwa atapigana na Iran siku moja ni hadithi tu
Israel amepiga airports za Damascus na Aleppo kwa kuwa anajua Syria kuna matatizo mengi na wako hoi kiuchumi
Sio kama zamani
Kwa upande mwingine Jordan anajaribu kuwa msuluhishi katikati yao kwa sababu yuko baina ya Iraq na Israel kwa hiyo escalations zozote Jordan ataumia zaidi maana mabomu yatapita juu yake pande zote

Naijua vizuri ME nimekaa miaka mingi
 
Shida yako mpalestina wa bongo ndio unadhani ni vita ya dini. Wakati waarabu wanajua ni vita ya mipaka, yaani waingize raia zao kwenye shida kisa ugomvi majirani kuhusu mipaka?
 
hapana,
Lengo la Israel ni kuitokomeza na kuifuta kabisa Hamasi waliojizatiti zaidi Ghaza katika uso wa ardhi ya Palestine.

Mbona West Bank - ukingo wa Magharibi hali iko shwari?
Serikali ya Fatah chini ya Mahamud Abass inaenjoy existence yake with high security, social, political, Technological and economy assistant From Israel.....
 
Hujui unachosema, unabwabwaja tu
 
Israeli hajawahi piga kelele juu ya kupigana na Iran, ila Irani ndio inapiga makelele kua ipo siku itaifuta Israeli katika uso wa Dunia, rejea matamshi ya Raisi wa Irani siku ya jumamosi Hamas walivyoishambulia Israeli
 
Kwa hiyo waislamu tu ndo wanatakiwa kupaza sauti ya kukemea kile kinachoendelea Gaza?
 
Israeli hajawahi piga kelele juu ya kupigana na Iran, ila Irani ndio inapiga makelele kua ipo siku itaifuta Israeli katika uso wa Dunia, rejea matamshi ya Raisi wa Irani siku ya jumamosi Hamas walivyoishambulia Israeli
Hayo yalikuwa ya Ahmedinejad former president
Lakini haikutokea
Ila matamshi ya sasa analengwa baba yake na Israeli Biden
 
Doh WAARABU ni dhaifu mno kwenye mambo ya umoja na mshikamano. Mwenzao anaumia pale gaza wao kimyaaa!!
 
Yule Putin mnaemshobokeaga leo hana jambo na nyie ahhhahhah
 
Hata we umewasaidia Nini.

Au kwa kusema Al Akbar, Yaani umemaliza hivyo
 
Mnafeli Sana.

Palestina wanahitaji msaada si kwasababu Ni Waislamu, hapana wanahitaji msaada kwasabab Ni binadamu wenzetu ktk dunia hii.

Ukishaingiza udini tayari Kuna sehemu ya dunia itajitenga nao.

Ishawishi dunia, weka udini mbali kabisa mtafanikiwa.
 
ungejua hali ilivyo, ungenyamaza tu. hawana uwezo na hawatakuja kuwa nao. na ardhi yote hiyo lazima itakuwa ya wayahudi muda si mrefu. maeneo hayo uliyoonyesha wapalestina kweli wapo walioporwa ial wengine walikuwa wanauza kwa njaa zao. ukitaka kujua kama waarabu au waislam wataishinda israel, jiulize kwanini Iran sasaivi amefyata mkia sana, yanagonga chupi manake anajua lolote laweza tokea, na ndio maana UK na US wamesogeza manowari zao, any thing can happen soon. pia, jiulize kwanini ISIS walichinja kote ila hawajawahi kuisogelea israel? na pia jana walivyopiga airports za damascus an alepo syria? ni mkwara huo kuwa ndiko wanakoelekea wakati wa kuipiga Iran.
 
pilipili ya shamba yakuwashia nini..
 
Jumamosi iliyopita Hamas walipovamia Israel na kuua raia, ilikuwa ni shangwe Gaza na Dunia nzima na Alah Akbar za kutosha.

Leo mnapelekewa moto, sisikii tena zile Alah Akbar... tunasikia tu mnavyoplay Victims na kuomba dunia iingilie kati.

The Victim card has expired... Face the Consequences
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…