Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa ajjili ya Hamas.Ndio wanataka waimalize Hamas na hao akina Erdogan wasiinilie kati.Hizo meli na ndege za kivita za Marekani hazikuenda kwa ajili ya kupigana na kakikundi kalikowatoa jasho waisrael bali ni hofu kwa Iran na Edrogan
Hivi kweli meli hiyo ya Gerald Ford na nyingine ambayo iko njiani ya USS Abraham Lincoln kwa ajili ya Hamas hapana
Hivi hii vita ni ya kidini?Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Huo nao ni ushauri wa kijinga.Yaani unataka watu wasiungane kumtetea mwenzao.Maana yake unataka Wapalestina wamalizwe .Ndio hicho hicho anachofanya Blinken kumuunga mkono Israel auwe wapalestina halafu anaenda kuwalaza wanaoweza kuwa watetezi wa Palestina.Vita sio jambo zuri waarabu wakiungana kupigana iyo vita rasmi dunia itakua inaingia kwenye vita ya tatu ya dunia machafuko yatakua makubwa zaidi amani iliyopo itaondoka mashariki ya kati na ilo jambo litachange image linaweza pelekea kutokea vita kubwa sana kati ya waislam na wakristo duniani
Mfano mzuri ni mambo yanayoendelea jinsi yanavyowagusa moja kwa moja watu wenye imani za kidini haijalishi mtu yupo ulaya, Asia au Africa
Ni bora ayo mataifa yasiungane kupigana vita ila waweke nguvu kubwa kufanya suluhu ya mambo bila machafuko
Sio mambo ya kiushabiki na sio mambo yaku underestimate nguvu ya mtu hayo mataifa ni vitovu vya aya maswala ya imani za kidini kwaiyo balaa lake kukichafuka sio kama ukrein na Russia
Naona ni sawa kabisa baadhi ya mataifa yakiarabu kutoingilia hayo machafuko hao mnawaita wavaa kobaz wanatabia yakuungana kama mchwa wanatanguliza imani kali sio swala lakuchukulia poa sana
Kushinda vita sio siraha wala wingi wa watu
Mimi kwani ni nani.Kama ningekuwa ndio Jordan na Egypt kwanza nampelekea salamu Blinken wala asikanyage hapa kwetu kabla hajataja suluhu ya Palestina na hajaonesha huruma kwa wanachi wa Gaza.Baada ya hapo namtishia akiniudhi navunja mkataba wa amani wa kinafiki na nafungua mpaka.AngeufyataWe mwenyewe huna solution umebaki kupiga piga kelele,sasa wao nao watoe wapi solution kama kati yenu tu hampendani,shia na suni ni paka na panya.
Sure, waarabu wenyewe kwenye nchi zao hawana uhuru,wanawezaje kuanza kufikiria Uhuru WA wengineNchi yoyote inayoongozwa kidikteta lazima US iwe imeruhusu. Nje ya hapo humalizi hata Miaka miwili.
Sasa basi hizo Nchi za kiarabu unazoona zinaongozwa kama familia zao wanapata ulinzi wa kutawala kutoka kwa huyo huyo US.
Ndio maana mgogoro unaohusu US na nchi nyingine basi wote wanaufyata
Mimi kwani ni nani.Kama ningekuwa ndio Jordan na Egypt kwanza nampelekea salamu Blinken wala asikanyage hapa kwetu kabla hajataja suluhu ya Palestina na hajaonesha huruma kwa wanachi wa Gaza.Baada ya hapo namtishia akiniudhi navunja mkataba wa amani wa kinafiki na nafungua mpaka.Angeufyata
🤣Nchi za kiislam hazinaga umoja kwenye kuteteana.. Palestina apambane na hali yake.
Wao watamsaidia kusema Allah Akbar tu
Nendeni sasa mkawasaidie kupigana. Wenzenu wanapewa kipigo nyie mmebaki kwenye keyboard tuUnajua wanakotoa silaha na pesa hao wapelestina!?..kwa nini blinken anahangaika kutembea arabuni Leo?
Gazeti refu ambalo halijibu hoja.Kijana Uislam wewe huuelewi na hapo hakuna hata Muislam mmoja aliyewaaha, wangekuwa wameachwa hao usingeona wamarekani kuingia na manowari za kivita haraka haraka, usingeona wafaransa kuingia na midege ya kivita.
Hapo wewe pasikutie wasiwasi kabisa, sisi leo tumesherehekea kwa mabiriani. Dunia nzima leo Waisla tumefurahi sana.
Kwanza kwa kuona silaha za tabata na zinazotengenezwa uwani zikiikusanya NATO nzima kuelekea Gaza ambayo hata wilaya ya Ilala inaweza kuwa ni kubwa kwake.
Si mchezo kijana, wewe media zote hizo unazozisikia na kuziona na ziko chini hya wayahudi. Kuna mengi sana huyaelewi.
fatilia kupitia hawa, nakuwekea link chini hapo, kidogo wana zi teview habari zote halafu kazi ni kwako uzifate zipi:
![]()
Ground News
Top Stories from around you and around the world. Compare how different news publishers frame the same newsground.news
Na wewe ukiwa mungu wako ni myahudi hautonielewa kabisa. kuna mtu anamsaliti mungu wake?
Kwani kuna chi zipi za Kiislam?Gazeti refu ambalo halijibu hoja.
Ni nchi gani ya Kiislam imeisaidia Gaza mpaka leo? Ni Misri, Iran, Uturuki, Syria au Saudi Arabia?
Misri ambaye ni jirani wa kwanza ndio kwanza amefunga mipaka yake kwa sababu hata yeye hataki Jihadists kwenye nchi yake.
Itaje hapa nchi moja tu ya Kiislam iliyowasaidia Gaza/Hamas.
Ile ni vita ya israeli na hamas. Waislamu wanaingiaje hapo?Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.
Anthony Blinken ameitembelea Israel kuipa pole kutokana na mashambulizi ya Hamas kwenye ardhi zao.Sambamba na yeye ndege za mizigo zimekuwa zikipeleka shehena kubwa za silaha nchini Israel ambayo tangu hapo haina upungufu wa vifaa hivyo.
Sambamba na hilo tena meli kubwa ya kivita na ya kisasa kuliko zote imeshapelekwa jirani kabisa na Gaza na karibu na Israel.Meli hiyo kwa ukubwa wake na vifaa vilivyomo na idadi ya askari wanaokuwemo humo ni sawa na kusema kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani imesogezwa karibu kuisaidia Israel kuimaliza Palestina.
Wakati wa press conference hapo jana kati ya Blinken na Netanyahu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani alitaja udugu alionao na Israel.Katika kuomboleza vifo vya raia wa Israel alitokwa na machozi katikati ya hotuba yake.
Baada ya kuondoka hapo imeelezwa ratiba inaonesha ataendelea na ziara kuzitembelea Jordan,Misri na Saudi Arabia.
Nini anakwenda kuwaambia nchi hizo.Huku muda huo huo Israel inaongeza ukatili wake kwa wapalestina ikitaka watu milioni moja na ushei wahame makazi yao katika kipindi cha masaa 24.Pamoja na kwamba haiwezekani kwa muda huo watu idadi hiyo kuhama pia huko wanakoelezwa waende hakuna mazingira ya kuwapokea.Kote ni kifo tu.Watakaoshindwa kuhama watakapouliwa itatolewa sababu kuwa waliambiwa wahame.Kule wanakotakiwa kwenda hakuna nyumba,maji ,chakula na umeme na bado hakuna uhakika kuwa hawatadondoshewa mabomu
Kama ni udugu uliomliza Blinken kwa ndugu zake Israel,jee waislamu na waarabu hawana udugu ulio bora zaidi na wenzao wa Palestina.Waislamu wakizidi kuwa wajinga watamalizwa kabisa.
Huyo sasa hivi lazima arudi kwenye mipaka ya kabla ya 1973.Uarabuni bado Wana ardhi tele ya kutosha wawachukue wapalestina watawanywe kwenye nchi zao ili wasimalize.
Israel anataka kupanua eneo lake ataimaliza gaza
Ukizungumzia Waarabu kusaidia ndugu zao wa Palestina huko Gaza ni sawa. Unapoingiza Uislamu sio sahihi, kwani Palestina ina Waarabu Wakristo na wamekuwepo huko kwa miaka zaidi ya 2000. Wakristo hao ndio walitemewa mate na Wazayuni hivi karibuni kule Yerusalem.Viongozi wa nchi za kiislamu wasijitumbukize katika ujinga utakaowagharimu dunia na akhera yao.Kama ni maazimio ya umoja wa mataifa kuhusu Palestina yapo makumi kadhaa na hayajatekelezwa hata moja.Kinyume chake maazimio hayo yanavunjwa mbele ya macho yao.