Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Rafiki hiyo video siwezi kuiangaalia maana vitu muhimu kama hivi unavipata kwa kusoma articles na vitabu sio kuangalia video za youtube.
Jamaa huyo hamna kitu kichwani hata unajisikia uchovu kujadilisna naye🤣🤣Hata mungu wa wayahudi kwanini aliruhusu wayahudi million 6 wachinjwe kama kuku wakati tunaambiwa ni taifa teule? Ina maana Hitler ana nguvu kuliko mumgu wa wayahudi?
Lazima asikie uchovu maana anatetea kitu ambacho hakipo. 😂 😂 😂 😂 😂Jamaa huyo hamna kitu kichwani hata unajisikia uchovu kujadilisna naye🤣🤣
Mungu anayeabudiwa na wayahudi kwa maana ya dini ya kiyahudi ya kwenye biblia mfano aliyeabudiwa na Musa na na ambaye aliwatoa Israel kutoka Misri na Mungu anayeabudiwa na wakristo wa kweli yaani born again Christian ni mmoja tu. Katika muktaza huo hakuna miungu miwili.Kingine Mungu wa wayahudi ni yupi huyo? Maana wakristo tunaamini Yesu ndiye Mungu hao wayahudi wanasema Yesu sio Mungu ni padri fulani tu..
ikimaanisha Mungu wa wayahudi na wakristo ni tofauti? Je unakiri kwamba Mungu wa wayahudi ana nguvu kuliko Mungu wa wakristo?
Mungu anayeabudiwa na wayahudi kwa maana ya dini ya kiyahudi ya kwenye biblia mfano aliyeabudiwa na Musa na na ambaye aliwatoa Israel kutoka Misri na Mungu anayeabudiwa na wakristo wa kweli yaani born again Christian ni mmoja tu. Katika muktaza huo hakuna miungu miwili.
Mungu huyo bila shaka yeyote nguvu anazo maana amewajereza tena wayahudi kwenye ardhi yao baada ya miaka mamia kupita na infact hii ni kutimiza unabii na kwa taarifa tu wayahudi ukubwa wa nchi yao ni zaidi ya huu wa sasa na soon watapata every inch ambayo Mungu aliwapa.
Mungu huyu ndiye aliyewapa neema na wasio wayahudi wakapata neema ya kumshinda (maana Mungu huyu nguvu anazo) shetani na mamilioni kwa mamilioni wapo mbinguni na wanazidi kwenda mbinguni na watazidi kwenda mbinguni.
Kwan Hitler alifanikiwa alichokitaka? wayahudi si hao wanazidi kustawi? ndo ujuwe nguvu ya Mungu wanayemtegemea ilivyo kubwa. Pamoja na kuuwawa huko kwa wingi bado wapo na sasa wana taifa lao.Hata mungu wa wayahudi kwanini aliruhusu wayahudi million 6 wachinjwe kama kuku wakati tunaambiwa ni taifa teule? Ina maana Hitler ana nguvu kuliko mumgu wa wayahudi?
Lazima asikie uchovu maana anatetea kitu ambacho hakipo. 😂 😂 😂 😂 😂
Kwanini unadanganya? Biblia ipo clear kwenye Yohana 1 kuwa Yesu ni Mungu na bila yeye hakuna kilichoumbwa, na kwamba kupitia yeye tu ndio utaenda mbinguni. Sasa hao wayahudi wanakataa wanasema ni utapeli hakuna cha Yesu ni Mungu so mpaka hapo hawawezi ingia mbinguni maana njia pekee ni YESU hata Waebrani 6,7,8 imesisitiza hilo. Sasa haiwezekani Mungu akawa mmoja alafu mkinzane!! So it's either wayahudi ndio wako sahihi au wakristo wako sahihi but WOTE wawili hawawezi kuwa sahihi. Kwanini mnawalizimishia Mungu ambao hawamtambui. In fact Wayahudi are closer to Islam culture and religious values kuliko wakristo.Mungu anayeabudiwa na wayahudi kwa maana ya dini ya kiyahudi ya kwenye biblia mfano aliyeabudiwa na Musa na na ambaye aliwatoa Israel kutoka Misri na Mungu anayeabudiwa na wakristo wa kweli yaani born again Christian ni mmoja tu
Kwamba uingereza alipokua anakoloni la Palestine akaamua kuwapa Israel ndio mnamsakazia Mungu? Acheni utapeli, Mungu huwa hasaidiwi, angetaka kuwarejesha angewapa hata nabii awapeleke sio eti wazungu wanaosupport ushoga, ukoloni na utumikishaji eti ndio wamsaidie. Kwanini mnapenda kufuru za ajabu?maana amewajereza tena wayahudi kwenye ardhi yao
Yes na ndio maana wayahudi walinyanganywa hiyo neema sababu walimkataa kristo so kuzimu inawahusu. Biblia ipo clear huendi kwa Baba bila kupita kwa Yesu hakuna shortcut nyingine cha ajabu mnawaita taifa teule and all that crapMungu huyu ndiye aliyewapa neema na wasio wayahudi wakapata neema ya kumshinda (maana Mungu huyu nguvu anazo) shetani na mamilioni kwa mamilioni wapo mbinguni na wanazidi kwenda mbinguni na watazidi kwenda mbinguni
Rafiki hiyo video siwezi kuiangaalia maana vitu muhimu kama hivi unavipata kwa kusoma articles na vitabu sio kuangalia video za youtube.
Kwanini unadanganya? Biblia ipo clear kwenye Yohana 1 kuwa Yesu ni Mungu na bila yeye hakuna kilichoumbwa, na kwamba kupitia yeye tu ndio utaenda mbinguni. Sasa hao wayahudi wanakataa wanasema ni utapeli hakuna cha Yesu ni Mungu so mpaka hapo hawawezi ingia mbinguni maana njia pekee ni YESU hata Waebrani 6,7,8 imesisitiza hilo. Sasa haiwezekani Mungu akawa mmoja alafu mkinzane!! So it's either wayahudi ndio wako sahihi au wakristo wako sahihi but WOTE wawili hawawezi kuwa sahihi. Kwanini mnawalizimishia Mungu ambao hawamtambui. In fact Wayahudi are closer to Islam culture and religious values kuliko wakristo.
Kwamba uingereza alipokua anakoloni la Palestine akaamua kuwapa Israel ndio mnamsakazia Mungu? Acheni utapeli, Mungu huwa hasaidiwi, angetaka kuwarejesha angewapa hata nabii awapeleke sio eti wazungu wanaosupport ushoga, ukoloni na utumikishaji eti ndio wamsaidie. Kwanini mnapenda kufuru za ajabu?
Yes na ndio maana wayahudi walinyanganywa hiyo neema sababu walimkataa kristo so kuzimu inawahusu. Biblia ipo clear huendi kwa Baba bila kupita kwa Yesu hakuna shortcut nyingine cha ajabu mnawaita taifa teule and all that crap
Kwamba hakuna wayahudi wanaompokea Yesu? Hivi Paulo alikuwa wa kabila lenu wale wanafunzi wa Yesu walikuwa wa kabila lenu? umejaa chuki kuhusu wayahudi mpaka...wapo wayahudi wengi tu born again na wataendelea kuwepo na by the way kuhusu kwenda kuzimu wamataifa hawaendi kuzimu? hao muslims, buddha, na wengine if hawajamkiri Yesu na of course hata wewe if hujampokea Yesu wote ni mtaenda kuzimu vilevile.Kwanini unadanganya? Biblia ipo clear kwenye Yohana 1 kuwa Yesu ni Mungu na bila yeye hakuna kilichoumbwa, na kwamba kupitia yeye tu ndio utaenda mbinguni. Sasa hao wayahudi wanakataa wanasema ni utapeli hakuna cha Yesu ni Mungu so mpaka hapo hawawezi ingia mbinguni maana njia pekee ni YESU hata Waebrani 6,7,8 imesisitiza hilo. Sasa haiwezekani Mungu akawa mmoja alafu mkinzane!! So it's either wayahudi ndio wako sahihi au wakristo wako sahihi but WOTE wawili hawawezi kuwa sahihi. Kwanini mnawalizimishia Mungu ambao hawamtambui. In fact Wayahudi are closer to Islam culture and religious values kuliko wakristo.
Kwamba uingereza alipokua anakoloni la Palestine akaamua kuwapa Israel ndio mnamsakazia Mungu? Acheni utapeli, Mungu huwa hasaidiwi, angetaka kuwarejesha angewapa hata nabii awapeleke sio eti wazungu wanaosupport ushoga, ukoloni na utumikishaji eti ndio wamsaidie. Kwanini mnapenda kufuru za ajabu?
Yes na ndio maana wayahudi walinyanganywa hiyo neema sababu walimkataa kristo so kuzimu inawahusu. Biblia ipo clear huendi kwa Baba bila kupita kwa Yesu hakuna shortcut nyingine cha ajabu mnawaita taifa teule and all that crap
Top officials wa Marekani wengine ambao ni Jews 👇 👇 👇
View attachment 2962130
View attachment 2962133
Na hapo sijakuonesha waliopo katika senate. Marekani sio rafiki wa waisrael bali ni waisraeli. Hii kauli naisema kwa sababu wanaoinfluence maamuzi ya marekani ni waisraeli waliopo katika goverment.
Nothing is promised in the world we live in. You have to fight and work for everything. The Israeli have worked very hard to settle there. Unaleta theory ndugu yangu mimi nakuletea ukweli wa maisha. Unajua Pope John Paul alipinga uvamizi wa Israel ? Baadae akalainika yeye mwenyewe.Nadhani hata kusoma utashindwa pia
Who were promised?
The first explicit promise to Abraham was at Sichem described in Genesis, Chapter 12 and verse 7: "Unto thy seed will I give this land."
Also Chapter 13, verse 15 when Abraham is standing on a hill near Bethel:
"For all the land which thou seest, to thee will I give it, and to thy seed for ever."
The words in Chapter 15, verse 18, are clearer: " Unto thy seed have I given this land, from the river of Egypt unto the great river, the river Euphrates."
The words used are "to thy seed" and this would inevitably include not only the Jews but also the Christians and Muslims who descended from Abraham.
It cannot be argued from the words of Genesis 21, verses 10-12 that the promises made to Abraham's other seed were cancelled since it concludes in verse 13:
"And also of the son of the bondwoman will I make a nation, because he is thy seed."
Therefore despite Israelites calling themselves the 'seed of Abraham', the descendents of Ishmael have every right to call themselves his seed also.
Moreover, at the covenant of circumcision made with Abraham (Genesis, Chapter 17), when Canaan was promised him, it was Ishmael who went through it: Isaac had not yet born.
Thus the Divine promise necessarily included all descendents of Ishmael and although narrowed down in the times of Isaac and Jacob, it did in no way exclude their Arab brethren.
It is well known that many Arabs did accompany Joshua into Palestine.
Also, success of Moses could be at least partly attributed to the kindness and hospitality of Jethre, the Midianite father-in-law of Moses, who was of course an Arab.
What was promised?
The extent of Promised Land is difficult to determine. It begins with a vague reference to 'this land' starting at Sichem (Nablus) and going on to include 'the river of Egypt' to the 'Euphrates' and to the passage that speaks of Abraham's descendents spreading out in all directions. Again, the promise of this dominion was made before the birth of Ishmael and Isaac and, therefore, could not be exclusively for Israelites. Furthermore, except for a short period of time, the area has always been in the possession of Arabs.
Furthermore, when Moses told his people that God has commanded that they should go and occupy the land from the Mediterranean to Euphrates and the Negeb to Lebanon: they did not, or could not carry out these instructions, according to the book of Deuteronomy. They could neither occupy the coastal land from Philistines nor the ports or hinterland from Phoenicians.
Was the promise irrevocable?
The English version of Genesis uses the words 'forever' and 'everlasting.' But the original Hebrew word is 'olam' which means 'a long time', 'antiquity', as we read of 'days of old', 'waste places of old', 'gates of old', etc. It is similar to the expression of a psalmist that says 'I will sing forever' which can hardly be taken at its literal meaning.
No Exclusivist promise.
Examining the above evidence one can only conclude that the land of Palestine was not promised exclusively to the Jews.
We also notice that there never was an unconditional promise of an everlasting possession.
The covenant relation between Israel and God demanded loyalty from the people and individual and corporate righteousness.
Were the people to fail in these respects a terrible doom awaited them. The words of Moses recorded in Deuteronomy, Chapter 28 apply so clearly to the suffering of Jews that many saw in them a prophecy of our own times.
Verse 15 reads: " But it shall come to pass, if you wilt not hearken unto the voice of the Lord thy God, to observe to do all His Commandments and His Statues which I command thee this day; that all these curses shall come upon thee, and overtake thee."
And verses 64, 65: "And the Lord shall scatter thee among all people, from one end of the earth even unto the other; and there thou shall serve other gods which neither thou nor thy fathers have known, even wood and stone. And among these nations shalt thou find no ease neither shall the sole of thy foot have rest: but the Lord shall give thee a trembling heart, and failing of eyes, and sorrow of mind."
Thus it is clear that the Divine promises to the patriarchs have been annulled by the national apostasy of Jews.
When the Assyrian captivity removed the population of Samaria and the Babylonian captivity that of the people of Judea, the prophets actually saw in these disasters a vindication of Divine justice on a disobedient and gainsaying people.
Furthermore, the promise was not in perpetuity. Despite a continued distortion of the Old Testament prophecies, the prophecies of return have been fulfilled.
The Jews did return to Judea and rebuilt the walls of Jerusalem and the temple. And after their fluctuating fortunes, they secured political independence and expansion under the Maccabbees.
Within the canonical literature of Old Testament there is no prophecy of a second return.
The Qur'an describes that God granted great honor and leadership of humankind on Abraham.
The following verses are instructive. "Recall when Abraham's Lord tested him in certain matters and when he successfully stood the test He (God) said: 'Indeed I am going to appoint you a leader of all people.' When Abraham asked: 'And is this covenant also for my descendents?' The Lord responded: 'My covenant does not embrace the wrong-doers.' " (Al-Baqarah, Chapter 2: verse 124).
The Qur'an also frequently mentions the favors that God bestowed on Israelites as also the frequent contraventions of their covenants with Him in order that humankind may learn from these in the conduct of life.
The following verses are pertinent. "Remember when Moses said to his people: 'O my people! Remember God's favor upon you when He raised prophets amongst you and appointed you rulers, and granted to you what He had not granted to anyone else in the world. My people! Enter the Holy Land (Ard-al-Muqaddasa) that God has assigned you; and do not turn back ignominiously for then you will be overthrown, to your ruin." (5: 20-21).
Then describing their excuses and hesitancy to proceed, their final response to Moses is recorded thus: "They said: 'O Moses! Never shall we enter it as long as they are there. Go forth, then, you and your Lord and fight, both of you, while we will sit here.' " (5:24).
Islamic exegetes agree that these verses refer to the time when Israelites after their exodus from Egypt were encamped with Moses in the wilderness of Paran, a desert that lies in the Sinai peninsula adjacent to the north of Arabia and south of Palestine. Following this, with Joshua leading them, they were able to conquer Palestine.
Subsequently, however, they lost it because of their transgressions against God, described in the Qur'an and Bible.
There is essential accord in the Biblical and Qur'anic description of favors of God on Abraham and Israelites.
Whereas the Bible is descriptive, the Qur'an concentrates on the lessons that could be derived from such events. The favors bestowed on Israelites were in answer to the prayers of Abraham, and they deserved them as long as they remained faithful to God.
Indeed, Israelites through much of their history were the only people who upheld monotheistic purity of faith despite strong antagonistic pressures from the prevailing paganism of their time., But while ma,intaining purity of belief in one God, they came to regard themselves as 'God's Chosen People', to the exclusion of the rest of humankind.
This is a grave violation, since equality of humankind is an integral component of the monotheistic principle. Likewise, it is inconceivable that a Just and Compassionate God would unconditionally give a so-called 'Promised Land' to appease a people (Israelites), while condoning their uprooting an entire population of another people who lawfully inherited this Holy Land (Palestinians).
There is no moral ground for such an inhuman, exclusivist dogmatic belief or racist behavior.
______________________________________________
Dr. Siraj Mufti currently serves Islamic consultant to the Correctional Corporation of America in Arizona and is a retired chaplain from the U.S. Department of Justice. Previously, he was a research professor at the University of Arizona in Tucson.
We ushaanza kuleta ubishani wa dini. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Ndio nakuuliza Mungu yupo wapi kuwasaidia hao wenye haki na ardhi ya Israel ?In the Bible GOD Almighty made a big statement in Isaiah48:6-9 about giving unpredicted future prophecies for or against the people of Israel:
"You have heard these things; look at them all. Will you notadmit them? "From now on I will tell you of new things, of hidden things unknown to you. They are created now, and not long ago; you have not heard of them before today. So you cannot say, 'Yes, I knew of them.' You have neither heard nor understood; from of old your ear has not been open. Well do I know how treacherous you are; you were called a rebel from birth. For my own name's sake I delay my wrath;for the sake of my praise I hold it back from you, so as not to cut you off. (From the NIV Bible, Isaiah 48:6-9)"
"So I will disgrace the dignitaries of your temple, and I will consign Jacob to destruction and Israel to scorn. (From the NIV Bible, Isaiah 43:28)"
"But now, all you who light fires and provide yourselves with flaming torches, go, walk in the light of your fires and of the torches you have set ablaze. This is what you shall receive from my hand: You will lie down intorment. (From the NIV Bible, Isaiah50:11)"
"Therefore say I unto you, The kingdom of God shall be taken from you, and given to a nation bringing forth the fruits thereof. (From the KJV Bible, Matthew 21:43)"
"O Jerusalem, Jerusalem, thou that killest the prophets, and stonest them which are sent unto thee, how often would I have gathered thy children together, even as a hen gathereth her chickens under her wings, and ye would not! (From the KJV Bible, Matthew 23:37)"
In these verses we see GOD Almighty declaring that He knows well how treacherous the people of Israel are, and how He has a future wrath/punishment for them
Kwamba hakuna wayahudi wanaompokea Yesu? Hivi Paulo alikuwa wa kabila lenu wale wanafunzi wa Yesu walikuwa wa kabila lenu? umejaa chuki kuhusu wayahudi mpaka...wapo wayahudi wengi tu born again na wataendelea kuwepo na by the way kuhusu kwenda kuzimu wamataifa hawaendi kuzimu? hao muslims, buddha, na wengine if hawajamkiri Yesu na of course hata wewe if hujampokea Yesu wote ni mtaenda kuzimu vilevile.
Mungu ana mpango na Israel na ndo maana wapo fully covered kwa bible na hata 99% imeandikwa na wayahudi. Na Kitabu cha ufunuo fully kinaelezea mwisho wa neema kwa mataifa na Mungu kuirejea Israel na kusimika utawala wa miaka 1000 akitawala dunia nzima kutokea Jerusalem.
Nothing is promised in the world we live in. You have to fight and work for everything. The Israeli have worked very hard to settle there. Unaleta theory ndugu yangu mimi nakuletea ukweli wa maisha. Unajua Pope John Paul alipinga uvamizi wa Israel ? Baadae akalainika yeye mwenyewe.
Wayahudi walifukuzwa hapo miaka mingi iliyopita, wakajipanga na kurudi nyumbani. Leo hii cha maana ambacho wapalestina wanatakiwa kufanya ni kuhama na kujipanga. Narudia mara ya tano hii, Israel ni sehemu yenye mgogoro katika historia na inajirudia. Kuleta masuala ya dini katika hoja ya waisrael itafanya tuulizane kwa nini Mungu anakubali wapalestina wapitie hii shida toka mwaka 1948 ?
Na sasa hivi katika ma-synagogue dunia nzima apartment zinauzwa zitakazojengwa Gaza. Usimchokoze mtu aliyekuzidi uwezo maana unampa sababu ya kukupiga zaidi.
We ushaanza kuleta ubishani wa dini. 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Ndio nakuuliza Mungu yupo wapi kuwasaidia hao wenye haki na ardhi ya Israel ?
Naomba nikuulize unaamini unaweza ukafanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ? Einstein alikuwa myahudi watu smart wengi ni wayahudi. Huyu jamaa anasema wayahudi waliangamiza watu wenye uwezo ili wao wawe juu. Hii inawezekana ? Ukijipanga na kuwa vizuri hakuna binadamu anaweza kukushusha. Hicho ndicho ninachoamini leo hii Ujerumani wanafundishwa historia ya WW2 na makosa waliyofanya. Ingekuwa wayahudi ni watu wabaya wangesikitika na kusema wayahudi ndio chanzo cha matatizo yao. Lakini imekuwa kinyume chake sera za Hitler hazipewi kipaumbele.Uliandika husikilizi clips lakini mwenyewe umetuma , sijui umesikiliza ?? 😛 😛
Nakuwekea hii video ya Myahudi anaeleza vizuri kuhusu hao wayahudi wa huko Europe walivyo
View attachment 2962346 😛
Hizo shida walizopitia ndio zimewafanya wajipange upya na kurudi kuichukua ardhi yao. Huko juu nilitoa mfano wa Kagame ambaye alikimbilia Uganda na kujipanga. Ndio maana naendelea kusisitiza ishu ni kujipanga na kuweka mikakati ya muda mrefu. Wapalestina wakiwa makini na kuondoka na kujipanga ndani ya miaka 50 wataweza kuichukua upya ardhi yao. Lakini kushindana na mtu mwenye drones na technolojia kubwa katika silaha na mbinu za kivita ni kujidanganya.Kwani wale wayahudi waliokimbilia Spain kwa waislamu wakati wakiuliwa na wakristo Spain huyo mungu wao alikuwa wapi ??
Naomba nikuulize unaamini unaweza ukafanikiwa kwa kuwaangamiza wengine ? Einstein alikuwa myahudi watu smart wengi ni wayahudi. Huyu jamaa anasema wayahudi waliangamiza watu wenye uwezo ili wao wawe juu. Hii inawezekana ? Ukijipanga na kuwa vizuri hakuna binadamu anaweza kukushusha. Hicho ndicho ninachoamini leo hii Ujerumani wanafundishwa historia ya WW2 na makosa waliyofanya. Ingekuwa wayahudi ni watu wabaya wangesikitika na kusema wayahudi ndio chanzo cha matatizo yao. Lakini imekuwa kinyume chake sera za Hitler hazipewi kipaumbele.
Hizo shida walizopitia ndio zimewafanya wajipange upya na kurudi kuichukua ardhi yao. Huko juu nilitoa mfano wa Kagame ambaye alikimbilia Uganda na kujipanga. Ndio maana naendelea kusisitiza ishu ni kujipanga na kuweka mikakati ya muda mrefu. Wapalestina wakiwa makini na kuondoka na kujipanga ndani ya miaka 50 wataweza kuichukua upya ardhi yao. Lakini kushindana na mtu mwenye drones na technolojia kubwa katika silaha na mbinu za kivita ni kujidanganya.