Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Zambia mpaka sasa ukifika kuna mabango ya kichina na taratibu za China.

=======

Zambian President Hakainde Hichilema. His government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China.

External debt

The Zambian government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China. The majority of the Chinese loans were acquired during the reign of Edgar Lungu. In 2020, Zambia became the first African country to default on debt in the Covid-19 era.

The government of President Hakainde Hichilema has been working with creditors such as China and Eurobond holders to restructure their debts.

On Friday, the AU and the African Development Bank discussed inclusive growth for African economies, and the question of debt, hunger and poverty featured.

Prof Kevin Urama, AfDB’s acting chief economist, said debt is not in itself bad but noted that Africa had taken on “bad debts.”

“If you look at the quantity of debt on the continent, compared to the quantity of debt in other countries, Africa is not really heavily indebted. The real problem is the bad debts,” he said.
 
Kinacho nishangaza mimi ni waswahili kurudia rudia propaganda za magharibi kuhusu ujio wa Wachina barani Afrika - wanawasema sema mambo mabaya tu - Wazungu hawapendi kabisa makoloni yao ya kizamani kuelewana na Wachina katika masuala ya maendeleo na mikopo hisiyo na riba kubwa.

Tumeshuhudia mara ngapi barani Afrika wachina wakisamehe baadhi ya mikopo - ni taifa gani la magharibi limewahi kuwasaidia Waafrika katika masuala ya maendelea makubwa ya miundo mbinu na mawasiliano, vyuo vya Ufundi na kijeshi, viwanda vya kuajiri vijana nk - hakuna, muda wote mataifa ya magharibi yanaendesha kampeini za kuzitisha nchi za kiafrika kuhusu ubaya wa Wachina na Warusi - wanajisahau kabisa kwamba actually Wazungu ndio walikuwa wahusika wakuu wa ku-under develop Afrika na kujenga Ulaya na Merikani wame plunder vast Natural resources za Afrika pamoja na kuwatumia watumwa walio tekwa na kusafirishwa kinguvu kwenda Merikani ya kasikazini na kusini na visiwa vya Kalibiani kulima mashamba ya pamba na miwa wakawatajirisha mabeberu hawa wasio na chembe ya haya.

Leo hii ndio waandishi wa habari wa magharibi wanajitia kuwavalia njuga Wachina kuhusu deni la $6 Billion kati ya $17 Billion za Zambian Govt external debt - why pick on Chinese debt na kuacha kutaja mataifa yanayo dai Serikali ya Zambia $11 Billion zilizo bakia, wadai wa $11 ni akina nani kama sio hizo Serikali na Mabenki ya mabeberu??

Kama nilivyo sema tangu mwanzo lengo la habari hizi ni kujaribu ku-demonise Serikali ya Uchina kwa stori za kutungwa tu kutoka media za Uingereza na Merikani - wapuuzi sana, cha ajabu kuna baadhi ya Viongozi wa Afrika wanao kubaliana na upotoshaji wa mataifa ya magharibi ili kujaribu kuwaharibia sifa Wachina.

Mfano: mwaka jana niliwahi kusikia eti Serikali ya Joe Biden imewashinikiza Serikali za Zambia na Congo DRC kuwafukuza wawekezaji wa kichina kwenye migodi ya madini na badala yake wawalete akina Bill Gates na wenzake kuwekeza kwenye migodi na ulimaji wa mashamba ya mahindi na ngano, Bill Gates anajifanya kuwekeza kwenye migodi kwanza lakini lengo lake hasa ni kuwekeza kwenye kilimo ili iwe rahisi kwake kusambaza mbegu za GMO zenye walakini mkubwa kiafya vile vile uwezi ukazivuna na kuziweka gharani ukitegemea unaweza kuzipanda msimu ujao zikaota - hazikubali kuota mpaka unalazima kwenda kununua mbegu kutoka kwenye maduka yao tu na si kwingineko.

Si hilo tu, vile vile mbegu za GMO zinaingiliana na mbegu asili kupitia cross pollunation na kuharibu mbegu asili - mwisho wa siku Afrika hisipo kuwa makini tutakosa mbegu asili na kuendelea kutegemea mbegu zilizo chezewa vina saba na na genge la akina Bill Gates - wanataka kututawala hata kwenye masuala ya mbegu zanazo tumika kwa wingi kwenye staple food ya Waafrika, who knows wanaweza kuongezea ingredients zipi za kupunguza kizazi barani Afrika - hawa jamaa wana malengo ya ajabu sana, Dr.Magufuli aliwajua sana undani wao ndio maana alikuwa anakaa mbali nao na kusimamisha miradi yao iliyokuwa inaendeshwa nchini ikiwemo hata ya Jimmy Carter kama sikosei.
 
Kinacho nishangazi mimi ni waswahili kurudia rudia propaganda za magharibi kuhusu ujio wa Wachina barani Afrika - wanawasema sema mambo mabaya tu - Wazungu hawapendi kabisa makoloni yaoya kizamani kuelewana na Wachina katika masuala ya maendeleo na mikopo hisiyo na riba kubwa - tumeshuhudia mara ngapi barani Afrika wachina wakisamehe baadhi ya mikopo - ni taifa gani la magharibi limewahi kuwasaidia Waafrika katika masuala ya maendelea makubwa ya miundo mbinu na mawasiliano, vyuo vya Ufundi na kijeshi, viwanda vya kuajiri vijana nk - hakuna, muda wote mataifa ya magharibi yanaendesha kampeini za kuzitisha nchi za kiafrika kuhusu ubaya wa Wachina na Warusi - wanajisahau kabisa kwamba wao ndio wahusika wakuu wa ku-under develop Afrika na kujenga Ulaya na Merikani wame plunder Vast Natural resources za Afrika pamoja na kuwatumia watumwa walio safirishwa kinguvu kwenda Merikani ya kasikazini na kusini na visiwa vya Kalibiani kulima mashamba ya pamba na miwa kwa ajili ya mabeberu hawa wasio na haya.

Leo hii ndio waandishi wa habari wa magharibi wanajitia kuwavalia njuga Wachina kuhusu deni la $6 Billion kati ya $17 Billion Zambian Govt external debt - why pick on Chinese debt na kuacha kutaja mataifa yanayo dai Serikali ya Zambia $11 Billion zilizo bakia.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo lengo la habari hizi ni kujaribu ku-demonise Serikali ya Uchina kwa stori za kutungwa tu kutoka media za Uingereza na Merikani - wapuuzi sana, cha ajabu kuna baadhi ya Viongozi wa Afrika wanao kubaliana na upotoshaji wa mataifa ya magharibi ili kujaribu kuwaharibia sifa Wachina.
Bro ingawaje Mimi cwakubali wazungu kwenye Mambo flan flan ila wachina hawafai kwa watu mbulula kama hawa wa kwetu. Mchina anafanya kila kitu anachofanya mswahili
 
Zambia mpaka sasa ukifika kuna mabango ya kichina na taratibu za China.

=======

Zambian President Hakainde Hichilema. His government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China.

External debt
The Zambian government owes $17 billion in external debt, with about $6 billion owed to China. The majority of the Chinese loans were acquired during the reign of Edgar Lungu. In 2020, Zambia became the first African country to default on debt in the Covid-19 era.

The government of President Hakainde Hichilema has been working with creditors such as China and Eurobond holders to restructure their debts.

On Friday, the AU and the African Development Bank discussed inclusive growth for African economies, and the question of debt, hunger and poverty featured.

Prof Kevin Urama, AfDB’s acting chief economist, said debt is not in itself bad but noted that Africa had taken on “bad debts.”

“If you look at the quantity of debt on the continent, compared to the quantity of debt in other countries, Africa is not really heavily indebted. The real problem is the bad debts,” he said.
Dawa ya deni kulipa acheni kelele
 
Kinacho nishangazi mimi ni waswahili kurudia rudia propaganda za magharibi kuhusu ujio wa Wachina barani Afrika - wanawasema sema mambo mabaya tu - Wazungu hawapendi kabisa makoloni yaoya kizamani kuelewana na Wachina katika masuala ya maendeleo na mikopo hisiyo na riba kubwa - tumeshuhudia mara ngapi barani Afrika wachina wakisamehe baadhi ya mikopo - ni taifa gani la magharibi limewahi kuwasaidia Waafrika katika masuala ya maendelea makubwa ya miundo mbinu na mawasiliano, vyuo vya Ufundi na kijeshi, viwanda vya kuajiri vijana nk - hakuna, muda wote mataifa ya magharibi yanaendesha kampeini za kuzitisha nchi za kiafrika kuhusu ubaya wa Wachina na Warusi - wanajisahau kabisa kwamba wao ndio wahusika wakuu wa ku-under develop Afrika na kujenga Ulaya na Merikani wame plunder Vast Natural resources za Afrika pamoja na kuwatumia watumwa walio safirishwa kinguvu kwenda Merikani ya kasikazini na kusini na visiwa vya Kalibiani kulima mashamba ya pamba na miwa kwa ajili ya mabeberu hawa wasio na haya.

Leo hii ndio waandishi wa habari wa magharibi wanajitia kuwavalia njuga Wachina kuhusu deni la $6 Billion kati ya $17 Billion Zambian Govt external debt - why pick on Chinese debt na kuacha kutaja mataifa yanayo dai Serikali ya Zambia $11 Billion zilizo bakia.

Kama nilivyo sema tangu mwanzo lengo la habari hizi ni kujaribu ku-demonise Serikali ya Uchina kwa stori za kutungwa tu kutoka media za Uingereza na Merikani - wapuuzi sana, cha ajabu kuna baadhi ya Viongozi wa Afrika wanao kubaliana na upotoshaji wa mataifa ya magharibi ili kujaribu kuwaharibia sifa Wachina.
Kwa anayefuatilia aina ya mikopo ya China hawezi kuongea ujinga kama huu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom