Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

Bro ingawaje Mimi cwakubali wazungu kwenye Mambo flan flan ila wachina hawafai kwa watu mbulula kama hawa wa kwetu. Mchina anafanya kila kitu anachofanya mswahili
Wote wezi ila mchina ni panyaroad na mabeberu ni majambazi professional. Panya road akija hata umpe anachotaka bado atakukata panga.
Yani wawekezaji wa kichina hata malipo kwa wafanyakazi wazawa ni ya ajabu na mazingira ya kazi magumu hakuna othet benefits.
 
Back
Top Bottom