Nchi za SADC tusipochukua hatua kuokoa Zambia, tunaipa China rasmi

Kukopa ni harusi kulipa ni matanga.
 
Acha wachukue liwe fundisho
 
Kwani nyie mnadaiwa kiasi gani?
 
Iam firm believer kuwa Africans have to be recolonized ili ndio wapate akili. Am agreed with Donald Trump.kuna mkoloni mweusi. Wanaiba Mali za nchi wanafanya kuwa za kwao
 
CC: Chui jike-Aione kwenye faili
 
It is suprising. Despite their poverty african countries have been made by their lenders not to ever fail to pay their depts, depts which only make them even more dependant on their lenders.
 
Kwa anayefuatilia aina ya mikopo ya China hawezi kuongea ujinga kama huu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app

Leta maoni mbadala yenye ushahidi wa kutosha na sio kukimbilia kutuletea story za kubuni kutoka MSM za US na UK - Wachina wamejenga miradi mingi sana hapa Tanzania including viwanda na reli ya TAZARA tutajie hata mradi mmoja ambao waliwahi kukwapua fedha za walipa kodi.

Najua utakimbilia kutaja mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo - lakini, je una habari kwamba Serikali ilikuwa haiwekezi chochote pale zaidi ya kutoa aridhi basi - wawekezaji na wajenzi walijuwa ni Wachina wenyewe na Kampuni ya Omani, walikuwa washirikiane na kampuni za Korea kusini kujenga viwanda vya kisasa kabisa (mainlly vya elekitronic) kuongeza ajiri kwa vijana - alipo ingia Magufuli kabadirisha every thing upside down na kuanza kuwalahumu Wachina as if ni wezi wa kutupwa - kasahau kwamba Mchina ina invest fedha zake taslimu na kama wawekezaji wengi walivyo wanataka return of investment irudi ndani ya muda mfupi - sasa Wachina walipo sema watajenga mradi na kuusimamia mpaka kwenye uendeshaji wake ili fedha zao za uwekezaji zirudi ndani ya miaka michache - kwa nini TPA au Serikali ilitaka kujiingiza kutaka kuendesha mradi ambao hawakuwekeza kitu walita waendeleza mambo yao ya ndio sivyo hivyo Wachina na Waomani waendeleee kula hasara si unajua tena Waswahili tulivyo.

Magufuli anauvalia njuga mradi wa Bagamoyo kuhakikisha unakufa lakini wakati huo huo anawekeza kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa jimboni mwake just a stone throw from Mwanza International Airport - mpaka leo sijawahi kuelewa mantiki ya kujenga uwanja wa ndege wa Kimataifa kijijini kwa Magufuli. Mungu bariki kaingia mama wa watu Dr.Samia Hassan kaona kuna umuhimu wa kipekekee kufufua tena mradi wa Bagamoyo - nampongeza sana mama wa watu.
 
Wewe uliyo ya andika hapa, wa-Sri Lanka au Waganda wakikuskia hawata kuelewa.
 
Kuna wahuni watasema deni ni himilivu.

Nchi za Africa tatizo kuu ni kutojali kesho na kutoogopa maisha ya kubahatisha.

Tunaishi na kujiendesha kama wild animals.
Wild Animals wana akili mkuu ungetolea mfano kitu kingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…