Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

Nchi za Ulaya,Canada na China zapigana kiume dhidi ya Marekani katika vita vya kibiashara

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa kubwa duniani.

Kwa mfano Canada baada ya kupandishiwa ushuru wa kuingiza bidhaa za chuma na Aluminium nchini Marekani kwa kiwango cha asilimia 25 nayo imepandisha gharama za uuzaji wa umeme unaotumika majimbo matatu ya Marekani ikiwemo New York.

Pigo la Cana limeonekana kuipata sawa sawa sehemu nyeti na hvyo kumfanya raisi Trump apate kisuunzi kidogo mbele ya jirani yake huyo.

Katibu wa mambo ya biashara wa jumuiya ya Ulaya ambao nao wamepandishiwa ushuru wa bidhaa za madini kama Canada amesema tayari wameshaweka mkakati wa kuzipandishia ushuru bidhaa za kutoka Marekani zenye thamni ya dola za Marekani bilioni 28
1741778934175.png
 
Trump sio muda mrefu wamarekani watamgeuka.
Kuhusu sakata la Canada, Wamarekani wengi wamechukizwa na wanaandika kuwa wanaona aibu kuwa Wamarekani kwa uongozi uliopo
 
Trump sio muda mrefu wamarekani watamgeuka.
Kuhusu sakata la Canada, Wamarekani wengi wamechukizwa na wanaandika kuwa wanaona aibu kuwa Wamarekani kwa uongozi uliopo
Pesa za Ellon Musk na Jeff Bezos ndizo zimesaidia kumuweka madarakani.Hana sifa za kuongoza taifa kubwa kama lile.
Angependeza kuwa raisi wa Somalia au Sudan
 
Back
Top Bottom