Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Umesema heshimu 😂😂😂 Watanzania wenyewe hawaheshimu wizi wa wazi hivi eti “ heshimu” 😂😂
 
Mwalimu aliwahi kusema mtu mjinga akikushauri ukapokea ushauri na kuukubali wewe ndio utakua mjinga!
 
Ingelikuwa hivyo kama makaratasi ya kupigia kura hayakuonekana manjiani na kwenye majalala kila kona yanaonekana yamezagaa ni tena limeshatiwa tiki ni kuokota na kutumbukiza kwenye sanduku japo hakukuwa na faida ya kupiga kura kwani matokeo walikuwa nayo mfukoni zile njemba za tume,wakituchora tu kwenye vyombo vya habari.
 
Kwani unaogopa Nini wakati zote ni mahakama? Kwa Nini unapendelea mahakani za Makufuli? Hapa inadhihirisha kuna mambo ya kikatili yapo ndani yenu.

Na mkijitoa watanzania wahamasishwe waandamane mpaka mngooke.
 
Weka Number Yako Ya Simu Ya Mkononi Upate Teuzi
Mambo Ni Moto Yanapelekwa Huko Mbele Kuondoa
Ile Tabia Ya Jamana Printers Kuchapisha Mavitu
Motive ya kuandika si kutaka teuzi - nilikuambia kwamba Dkt Magufuli hajawahi kushindwa na hajashindwa kweli
 
Kwani unaogopa Nini wakati zote ni mahakama? Kwa Nini unapendelea mahakani za Makufuli? Hapa inadhihirisha kuna mambo ya kikatili yapo ndani yenu.

Na mkijitoa watanzania wahamasishwe waandamane mpaka mngooke.
Hatutaondoka kwa maandamano ya vibaka - tutaondoka tukishindwa uchaguzi huru na haki
 
Mwambie Jiwe mabeberu wameshafanya Leo hi hamna habari.
 
Akili yako tuna mashaka kama ni timamu. Huenda unatembea na boksi.
 
Akili yako tuna mashaka kama ni timamu. Huenda unatembea na boksi.
Huo ubaki kuwa mtizamo wako - walezi ndio waliokuharibu lkn bado una nafasi ya kutumia busara za jirani yako
 
 

Attachments

  • 2604112-53e5c4e7e1017bceed0cdad1d4e50a43.mp4
    13.9 MB
Kwa ujinga wako unataka watu waheshimu wizi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…