BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #21
Tamko rasmi la serikali lilisema Tanzania inaheshimu haki za binadamu wakiwemo mashoga.Inawezekana ccm walishajiunga huko siku nyingi kinyemela..
![]()
Kangi Lugola: Wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tanzania - BBC News Swahili
Wiki iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitangaza kuanza kampeni dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo serikali imejitenga nayo.www.bbc.com