Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

Tanzania kama Nchi haina tatizo, tatizo lipo kwa viherehere flan hivi wanaopenda kupiga chabo nyumba za watu, lol
 
LGBTQ mnapozingua ni kwamba hamtoi maelezo juu ya hicho chama chenu

kwanini watu wanaamua kua homosexuals? kwanini tuwachukulie kawaida?

nilishangaa nilipogundua kuna LGBTQ wanaamua kuwa kawaida, maana yake LGBTQ pale mnaigiza ama?

mkiulizwa hivi hamjibu mnatukana

Unataka maelezo yapi juu ya 'chama chetu?'
Orodhesha ujibiwe,

Hakuna mtu 'anaamua' kua homosexual, ni kama vile hakuna mtu anaamua kua heterosexual au wewe uliamua??

Unaposema LGBTQ+ kua kawaida una maanisha nini? Muelezee huyo mtu alikua ni nani katika mwamvuli wa LGBTQ+ na ulijuaje kua amekua 'kawaida'

Ongea na mimi hua simtukani mtu anayetaka kujua.
 
nataka nijue the science behind it, make it make sense

heterosexuals si wanaeleweka kirahisi tu

hiyo ya homo kuwa kawaida niliisoma reddit, alikua homo akajikuta anavutiwa na jinsia tofauti, akahama
 
Heterosexual inaelewekaje? nani aliichagua?
Hivyo hivyo na homesexual haijulikani how ila ipo, hakuna aliyeichagua,

Mfano, unaweza ukanipa utafiti wa kisayansi kwanini kuna watu wanatumia mkono wa kushoto (left handed) kwenye kila kitu na wengine wanatumia mkono wa kulia (right handed) na wengine wanatumia mikono yote (ambidextrous)?

Kwenye LGBTQIA+ kuna B ina stand for Bisexual huyu anavutiwa na both Male and Female, lakini kuna P, Pansexual huyu hana chaguo yoyote kwake fresh tu as long as ni binaadam, teh, halafu kuna Q, Question hawa hua bado hawajajipata wanajitafuta.... so huenda huyo ulomsoma ni aidha B au P au Q.
 
the evolutionary objective of reproduction

nyie ni deviants

kinachonichanganya zaidi, haipo kwa binadamu tu
Deviants, lol,
Hizo ni thoughts ambazo jamii imejiwekea kwa kua mtu anakua kinyume na mila na tamaduni zao, uliuliza kisayansi nikakupa mfano swali la left handed na right handed,

Jamii zetu zilikariri kua mapenzi ni kati ya Me na Ke kumbe mapenzi ni zaidi ya hayo,

Nakupa na hii,
Ijue tofauti ya Sex na Gender, kajisomee kuhusu Sexual orientation na Gender Identity/Gender Queer
 
Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo.

Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8 ya Mwaka 1998, ambapo Mahakama ilitamka wazi kwamba sheria inayozuia mapenzi ya jinsia moja ni batili na inakinzana na Katiba, na hivyo kuamuru kuifuta na kuitengua kutoka katika vitabu vya sheria.

Vivyo hivyo, mwaka 2015, Bunge la Mozambique lilifuta sheria dhidi ya ushoga ya kikoloni na kutunga sheria mpya (the 2015 Criminal Code) iliyohalalisha mapenzi ya jinsia moja. Sheria ya ushoga nchini Mozambique imekuwepo toka enzi za wakoloni na ilidumu bila mabadiliko yoyote hadi mwaka 2015 ambapo ilifutwa rasmi.

Katika mfuatano huo, mwaka 2019, Botswana ilifutilia mbali sheria dhidi ya ushoga kupitia kesi ya kikatiba baina ya Letsweletse Motshidiemang Vs State, ambapo Mahakama kuu ilitoa amri ya kufuta sheria hiyo kwa kutamka kwamba inakinzana na Katiba kwa kupoka haki ya Uhuru, Faragha na Utu. Mwaka 2021, Mahakama ya Rufaa nchini humo ilikazia na kuhalalisha hukumu ya Mahakama kuu na kufanya mapenzi ya jinsia moja kuwa halali hadi sasa.

Mwaka 2020, Angola, kupitia Bunge lake, ilifuta sheria ya kikoloni dhidi ya ushoga, na kutunga sheria mpya (the 2020 penal code) ambayo ilitoa ruhusa ya mapenzi ya jinsia moja nchini humo pamoja na kuzuia vitendo vya ubaguzi na unyanyasaji vinavyohusiana na chaguzi za kimapenzi (sexual orientation).

Vivyo hivyo, nchi zingine kama vile Syecheless, Cape verde, Namibia, Mauritius, Guinea Bissau, Lesotho, na Soa Tome and Principe nazo kwa nyakati tofauti tofauti zilifuta sheria za kikoloni za ushoga kupitia kesi mbalimbali za kikatiba zilizofunguliwa kupinga vifungu vya sheria hizo batili.

Katika takwimu hizo, inaonesha kuwa, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai katika nchi kumi na mbili tangu kuanzishwa kwake. Nchi hizo ni Burkina Faso, Benin, Gabon, Ivory Coast, Djibouti Jamuhuri ya Afrika ya kati, Congo, Equatorial Guinea, Madagascar, Mali, Niger na Rwanda.

Historia inaonesha kuwa, uwepo wa sheria za jinai dhidi ya ushoga katika baadhi ya nchi za kiafrika umetokana na uvamizi wa kikoloni wa Waingereza ambao ndio waliozileta sheria hizo katika makoloni yao kuanzia karne ya 18 hadi ya 20.

Nchi ambazo hazikutawaliwa na waingereza hazikuwahi kuwa na sheria za ushoga mathalani nchi ya Rwanda.

Nchi zilizotawaliwa na Waingereza, sheria zao za ushoga zilikuwa na maneno mfanano (similar wording of the law), kitu ambacho kinathibitisha kwamba sheria hizo zilikopiwa na kupachikwa katika makoloni (copy and paste) kama jinsi zilivyo. Nchi hizo ni kama vile Uganda, Kenya, Botswana, na Tanzania.

Uhusiano wa sheria za ushoga na wakoloni wa Kingereza una chimbuko lake la kidini ambalo limeundwa katika msingi wa utawala wa kiroma uliotaka kuwalinda wakristo dhidi ya ufiraji kupitia tunu za kibiblia (biblical values).

Baada ya uhuru, nchi za Kiafrika zikaanza kubadili sheria za ushoga taratibu mpaka mwaka 1998 ambapo South Afrika ilianza kuchukua hatua za wazi kutokana na katiba yao kuwa na mawanda mapana ya haki za binadamu na utawala wa sheria.

MY TAKE: Tanzania tujifunze kutoka South Africa.
We dada, njoo kwanza kwangu niwe nakufira kila ninapotaka ndipo nichukue mawazo yako. Mimi kinyeo tu, huko mbele sitaki.
 
Deviants, lol,
Hizo ni thoughts ambazo jamii imejiwekea kwa kua mtu anakua kinyume na mila na tamaduni zao, uliuliza kisayansi nikakupa mfano swali la left handed na right handed,

Jamii zetu zilikariri kua mapenzi ni kati ya Me na Ke kumbe mapenzi ni zaidi ya hayo,

Nakupa na hii,
Ijue tofauti ya Sex na Gender, kajisomee kuhusu Sexual orientation na Gender Identity/Gender Queer
Inafikirisha mkuu labda nitaelewa siku moja

Nipo kati kati ya kupinga na kukubali

Ila kuwaua sijui kuwafunga, violence against LGBTQ napinga
 
Sura ya maimamu tz waliibongeza SA nchi inayounga mkono Ushoga.
 
Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo.

Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8 ya Mwaka 1998, ambapo Mahakama ilitamka wazi kwamba sheria inayozuia mapenzi ya jinsia moja ni batili na inakinzana na Katiba, na hivyo kuamuru kuifuta na kuitengua kutoka katika vitabu vya sheria.

Vivyo hivyo, mwaka 2015, Bunge la Mozambique lilifuta sheria dhidi ya ushoga ya kikoloni na kutunga sheria mpya (the 2015 Criminal Code) iliyohalalisha mapenzi ya jinsia moja. Sheria ya ushoga nchini Mozambique imekuwepo toka enzi za wakoloni na ilidumu bila mabadiliko yoyote hadi mwaka 2015 ambapo ilifutwa rasmi.

Katika mfuatano huo, mwaka 2019, Botswana ilifutilia mbali sheria dhidi ya ushoga kupitia kesi ya kikatiba baina ya Letsweletse Motshidiemang Vs State, ambapo Mahakama kuu ilitoa amri ya kufuta sheria hiyo kwa kutamka kwamba inakinzana na Katiba kwa kupoka haki ya Uhuru, Faragha na Utu. Mwaka 2021, Mahakama ya Rufaa nchini humo ilikazia na kuhalalisha hukumu ya Mahakama kuu na kufanya mapenzi ya jinsia moja kuwa halali hadi sasa.

Mwaka 2020, Angola, kupitia Bunge lake, ilifuta sheria ya kikoloni dhidi ya ushoga, na kutunga sheria mpya (the 2020 penal code) ambayo ilitoa ruhusa ya mapenzi ya jinsia moja nchini humo pamoja na kuzuia vitendo vya ubaguzi na unyanyasaji vinavyohusiana na chaguzi za kimapenzi (sexual orientation).

Vivyo hivyo, nchi zingine kama vile Syecheless, Cape verde, Namibia, Mauritius, Guinea Bissau, Lesotho, na Soa Tome and Principe nazo kwa nyakati tofauti tofauti zilifuta sheria za kikoloni za ushoga kupitia kesi mbalimbali za kikatiba zilizofunguliwa kupinga vifungu vya sheria hizo batili.

Katika takwimu hizo, inaonesha kuwa, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai katika nchi kumi na mbili tangu kuanzishwa kwake. Nchi hizo ni Burkina Faso, Benin, Gabon, Ivory Coast, Djibouti Jamuhuri ya Afrika ya kati, Congo, Equatorial Guinea, Madagascar, Mali, Niger na Rwanda.

Historia inaonesha kuwa, uwepo wa sheria za jinai dhidi ya ushoga katika baadhi ya nchi za kiafrika umetokana na uvamizi wa kikoloni wa Waingereza ambao ndio waliozileta sheria hizo katika makoloni yao kuanzia karne ya 18 hadi ya 20.

Nchi ambazo hazikutawaliwa na waingereza hazikuwahi kuwa na sheria za ushoga mathalani nchi ya Rwanda.

Nchi zilizotawaliwa na Waingereza, sheria zao za ushoga zilikuwa na maneno mfanano (similar wording of the law), kitu ambacho kinathibitisha kwamba sheria hizo zilikopiwa na kupachikwa katika makoloni (copy and paste) kama jinsi zilivyo. Nchi hizo ni kama vile Uganda, Kenya, Botswana, na Tanzania.

Uhusiano wa sheria za ushoga na wakoloni wa Kingereza una chimbuko lake la kidini ambalo limeundwa katika msingi wa utawala wa kiroma uliotaka kuwalinda wakristo dhidi ya ufiraji kupitia tunu za kibiblia (biblical values).

Baada ya uhuru, nchi za Kiafrika zikaanza kubadili sheria za ushoga taratibu mpaka mwaka 1998 ambapo South Afrika ilianza kuchukua hatua za wazi kutokana na katiba yao kuwa na mawanda mapana ya haki za binadamu na utawala wa sheria.

MY TAKE: Tanzania tujifunze kutoka South Africa.
Wewe ni shoga?
 
k

Si bure bila shaka wewe ni shoga!
 
Back
Top Bottom