Bora wakatae. Kwann mkazae na race isiyo yenu. Kwanza waafrika ustaarabu zero kabisa. Bora wakatae.Tatizo hawataki damu za waafrika ili kutoharibu DNA zao
Niliandika hapa kipindi cha nyuma kuwa ili taifa lolote liendelee linahitaji population ya watu wake kuwa wengi. Watu wakanishambulia na kusema sijui ninachosema.Wachina walishagundua kampeni za "uzazi WA mpango" ni mpango WA mabeberu kwadhoofisha kiuchumi na kuwaletea ukoloni mamboleo.
Kiuhalisia, "Watu ni mtaji"
China inakua Kwa Kasi sana Kwa mtaji WA watu walionao (Nguvu Kazi) .
Ata huku kwetu tunaelekea huko huko. Hii dunia ya kujiongezea mashepu halafu hawazai ni tatizo.Angalia anachopitia Ukraine Kwa ukosefu WA watu vitani dhidi ya Russia mwenye mamia ya milioni ya watu.
Pia, Trump alipoingiza tu madarakani USA , kapiga marufuku kutoa Mimba, na kasema wazi, uchumi waviwanda unakufa kwasababu ya idadi ndogo ya wafanyakazi.
Kumbuka, Chama Cha democrats Chini ya Biden kiliruhusu wahamiaji ili angalau kufidia pengo la idadi ya watu (Nguvu Kazi) kuendesha uchumi WA marekani.
Angalia Canada inavokaribisha wageni Kwa Nguvu, Hadi inatoa uraia Kwa wakimbizi kwenye Kambi mbalimbali maana uchumi wao unakufa, nchi nzima imejaa mapori.
Japan damu ya kiafrika wanaikubali.Tatizo hawataki damu za waafrika ili kutoharibu DNA zao
Hawataki kujichanganya na wadumavu..Tatizo hawa jamaa hawataki "damu nyeusi", ingekuwa hivyo nadhani hii ni opportunity kwa mtu mweusi.
Wamestuka,uzazi WA mpango ulkua ni utapeliHao China si Kuna kipindi walipiga ban kuzaa watoto zaidi ya wawili kimewakita Nini Tena?
Tupo wasukuma usijaliAta huku kwetu tunaelekea huko huko. Hii dunia ya kujiongezea mashepu halafu hawazai ni tatizo.
Nadhani sampuli ya hao wenye shape wasiozaa ni ndogo sana. Watanzania wanazaa sana. Hasa wenye kipato cha chiniAta huku kwetu tunaelekea huko huko. Hii dunia ya kujiongezea mashepu halafu hawazai ni tatizo.