Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Siamini mpaka Faizafoxy aje ajionee macho machoHi Wanabodi,
Chini ni list ambayo imetolewa na pornmd ikiorodhesha nchi zinazoongoza kwa uangaliaji wa zile video za kiutu uzima mitandaoni. List imenishangaza kwa kweli.
Hii hapa jionee mwenyewe.
kupitia rahatupu auTumehujumiwa Tanzania hatujatajwa wakati ndio vinara
Siamini mpaka FaizaFoxy aje ajionee macho macho
Subiri aje FaizaFoxy
Ila nchi hizo kuna censorship na sites kibao zime blokiwa ,hizi takwimu zina ukakasi ,kuna nchi hapo mfano saudia mitandao yote ya jamii yamekuwa blocked kuanzia fb,instagram nk achilia mbali sites za porn na moviesNasikitika siioni nchi yangu. By the way....Waarabu wanapenda sana ngono na kwa sababu nchi zao zina sheria kali inabidi tu wajipoze kwa style hiyo.
Kuna Mpakistan mmoja hapa Mwanza ni noma kwa kutongoza dada zetu.
Bundle hazipoTanzania tumekosekana hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli sahizi watu wako bize kutafuta hela
Hii ni hujumaBundle hazipo