Nchi zinazoongoza Kuangalia Video za Pilau za Mtandaoni

Mkuu nenda wikipedia, nenda hata google and then search, "what are the countries leading in watching porn" then am sure Utapata majibu.
 
UAE si ndiyo ipo DUBAI?
 
Mkuu nenda wikipedia, nenda hata google and then search, "what are the countries leading in watching porn" then am sure Utapata majibu.
Mkuu nime check google nimeona ni just blog 1 imechapisha na forums so sio reliable source na ndio maana nikasema ni za ukakasi ,kuna blogs mbona zilimlisha maneno Trump kuwa atawafunga Mugabe na museveni so blogs za mtu sio reliable source na Wikipedia hawajatoa data hzo

Nakupa tu mfano saudia kuzungumza tu siasa mtandaoni jela ,na sites zote za porn zimekuwa blocked ,google watatoaje data za watazamaji wa porn katika nchi hiyo wakati sites zote zimekuwa blocked katika nchi hiyo

Ndio maana nikakuambia haihitaji uwe na PhD kuamini habari hii kutoka kwenye chapisho la blog ya mtu tu,ingekuwa media au site sawa ..yani hapa sijapata tabu kutafuta nilivyoona source ni unknown blog halafu nikichekesha akili kuna sehemu hata Facebook huipata ukiwa kwenye hiyo territory na sites zote huzipati halafu iongoze kuwa na takwimu ya watazamaji walio wengi huo ni uongo uliotukuka

Nakumbuka google walitoa data ya wananchi Kenya wana search vitu gani haswa na ukienda kutafuta hiyo habari gogle saizi utakutana na relianle sources nyingi,sio habari hii uliyoitoa imechapisha na unknown blog moja tu na kabla ya kusearch google kwa kutumia tu akili yangu nikajua haiwezi kuwa kweli
 

 

Mkuu wewe ni muarab?
 
Duh sasa mkuu watu DUBAI wanaipendeaga nini? Kuna hata sehemu unaweza pata Malaya wanaojiuza Kwa hali hiyo?
 
Stak.kuamin kama Tanzania
Na Kenya hazpo
 
Tanzania tumekosekana hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli sahizi watu wako bize kutafuta hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Du!!! Tumekosa!! Hoi list itakuwa feck hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…