Nchi Zinazoongoza Kwa Amani na Furaha Duniani

nina mashaka na hiyo ranking yako, ina maana TZ imepitwa na SIERRA LEONE(ni maarufu kwa blood diamonds). hujanishawishi kuamini!!!
 
movies zile mkuu(blood diamonds) sio reality,also Amani=usawa+maisha bora;assume usawa=0,maisha bora=0 then Amani=0"Mathematical point of view which show the verified statistical data za mtoa mada"
 
ile ni movie yenye reflection ya maisha halisi, sierra ni nchi yenye machafuko ya waasi yalioongozwa na Foday Sanko, ila kwa sasa kidogo kumetulia, sasa utaifananisha na tz isiyoonja machafuko yoyote?
 
Don't be brainwashed people, Tanzania tuna kila sababu ya kufurahia hii amani tuliyonayo...tuulizeni tuliokuwa congo kipindi cha machafuko...its scrary and horror memorance.
 
nina mashaka na hiyo ranking yako, ina maana TZ imepitwa na SIERRA LEONE(ni maarufu kwa blood diamonds). hujanishawishi kuamini!!!
Mkuu hizo ni Takwimu zinazotolewa kila Mwaka na hiyo ni ya 2013
sasa sijui kwa 2013 SIERRA LEONE ilikuwaje, kama ilikuwa na machafuko
ya kuizidi TZ basi ni kweli hii takwimu si sahihi lakini nimeangalia hizi
takwimu kutoka vyanzo tofauti naona zinafanana kwa kiasi kikubwa.
 
ile ni movie yenye reflection ya maisha halisi, sierra ni nchi yenye machafuko ya waasi yalioongozwa na Foday Sanko, ila kwa sasa kidogo kumetulia, sasa utaifananisha na tz isiyoonja machafuko yoyote?
Tanzania haijaonja machafuko?....... Halafu katika vigezo vyao wao wameenda
mbali zaidi kuna mambo mengi sana huwa wanayaangalia. Nirudi kwenye hoja yako
kuwa TZ haijaonja machafuko sijajua ni machafuko ya aina gani unazungumzia wakati
watu tulikuwa tunaishi kwa bakora na kulazimishwa kulala saa moja.

Don't be brainwashed people, Tanzania tuna kila sababu ya kufurahia hii amani tuliyonayo...tuulizeni tuliokuwa congo kipindi cha machafuko...its scrary and horror memorance.
Nawewe tuulize tuliokuwa Mtwara kipindi cha machafuko, umo haumo ni bakora, kuvuliwa
nguo na kuadhibiwa na chumvi na pilipili...... mkuu we umeona tu wenzio tumeadhibiwa.
 
Don't be brainwashed people, Tanzania tuna kila sababu ya kufurahia hii amani tuliyonayo...tuulizeni tuliokuwa congo kipindi cha machafuko...its scrary and horror memorance.

What abt operation tokomeza doings? ar they not scary,? ar they not horrible? kama watanzania wenzetu, ndugu zetu, dada zetu, wadogo zetu, baba zetu, mama zetu na rafiki zetu walipitishiwa vijiti sehem zao za siri, walichomwa makalio na wengine kuuawa, is that not scary and horror,? zaidi ya yote waliyefanya yote hayo ni our fellows TANZANIAN! ISNT IT SCARY MY BROTHER!?
 
Unashabikia vitu usvovjua ww,ngoja yaje machafuko unayoyataka ili roho yako mfu ifarjike,make mnaelezwa hamtak amin mnatkaa kuibeza nchi yenu tu only bcoz mnachuk bnafs kwa serkal iliyopo au mmepewa mikoba ya uchawi na baba zenu kaz kuwachukia watu wenye furaha
 
Kwa majirani zetu majanga matupu.
Wote naona wapo kuanzia 100 nakuendelea.
 
Back
Top Bottom