Nchi zinazoongoza kwa unywaji wa pombe barani Afrika

Zambia ilitakiwa iwe No. 2 hapo! Ni wanywaji hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya haimo halafu tusker imo ,what a bomboclaat
Ni jambo la kushangaza sana...hapa naona wakenya wa ki potray kua inchi yao sio walevi ila bia yao ni famous..
 
Uwongo uliopitiliza!
Zambia is supposed to be number ONE!
Zambia wanapenda pombe ila hawawezi kuizidi SA yaani kiwango cha pombe zinazonyweka Gauteng province huwezi kufananisha na Zambia yote wahuni wanakunywa pombe hawa acheni masihara yenu Ramaphosa anaaumua kufungua ma bar kwa sababu wanakosa mapato na anatamka kabisa serikali inapata mapato makubwa kupitia Pombe...
 
Kesi kubwa SA kipindi cha lockdown ni Pombe na Sigala na sasa hivi wana mbinu yao wengi siku ya ijumaa wanatembea na beg ili wanunue waweke kwenye kibegi safari ya nyumbani akifika nyumbani anakunywa zile ndio wanaenda bar...na wana magari yao special kwa ajili ya ulevi tuu hizo Golf series 5,6,7, Polo,Benz na BM chama cha walevi raia kupitia magari wakipaki sehemu wanafungua milango gari iliyo na mziki mzuri mzito inafunguliwa linawekwa Jimbo lao " Faka mali ze ubone" weka hela uone hao wahuni wanaweza kunywa hapo mpaka asubuhi...kipindi cha week end
 
Tanzania ingekuwa juu ya hapo, shida ulofa. Maisha magumu sana awamu ya jiwe. Fedha imekata, hata ya kununua malimao ya nyungu haipo. Mabaa yanafungwa. Hakuna wateja.
 
United republic of Kilimanjaro (rombo, mwika, marangu, kirua, old moshi, uru, kibosho, sanya etc)
 
Waongo awa Zambia awafika kufanya tafiti Zambia vijana akuna mwenye anywi pombe tena zile Kali.
 
Malawi
 
Sipati picha hiyo nchi ilioshika namba moja wanakunywaje pombe,maana zinavyonyweka huku kwetu nilijua angalau tungekuwa no.2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…