Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
Zambia kukosekana topu siliii hii huu utafiti fekiNilidhani Zambia ingekuwa mwanzo mwanzo...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zambia kukosekana topu siliii hii huu utafiti fekiNilidhani Zambia ingekuwa mwanzo mwanzo...!
Huu utafiti nina mashaka nao.Kwa mujibu wa mtandao wa African full facts nchi zinazo ongoza kwa unywaji wa pombe barani Africa ni..
1. South Africa
2. Gabon
3. Namibia
4. Nigeria
5. Uganda
6. Rwanda
7. Burundi
8. Sierra Leone
9. Botswana
10. Tanzania.
Na vilevi (bia) vinavyohusidiwa sana na walevi wa bara la Africa ni:
1. Tusker lager
2. Kasupreko drinks
3. Castle lager
5. Star beer
6. Windhoek lager
7. Chibuku.
Bongo kwa nyakati hizi nadhani hizi.." ngumu kumeza, Rahisi kulewa" ndo zitakua zinakimbiza. Kitoko, double Kiki, smart gin. etc.
hiyo list yake bado aijakamilika kama Zambia ajaiwekaNilidhani Zambia ingekuwa mwanzo mwanzo...!
Hahahahahaa KHUMBU bado namvutia picha ila bado sijapata picha kamili😂kwakina KHUMBU, tako mning'inio.
Hahahahaha aseee hiyo nomaNilisafiri Kwa Barabara toka Dar to Ndola baada ya Kapiri kuelekea Ndola tulianza kukutana na mapipa ya pombe pembeni mwa barabara yaani kama vile Sisi tunapokutana na wauza mahindi ya kuchoma, ndizi, karanga na mananasi njiani wao wameweka pipa la pombe sikuamini macho yangu muuzaji humuoni ukisimamisha gari anatokea kukuuzia [emoji3][emoji3][emoji3] hii kitu labda iishe hivi karibu maana sijaenda muda
Tatizo sio kwenye bar tu, tulikuwa tunaongea na maboss wa kampuni fulani tunawasifia kwamba hata wakinywa kazi wanafanya vizuri, mmoja akapandisha suruali kidogo kutuonyesha kavaa soksi mguu mmoja mwingine kiatu tupu [emoji3][emoji3][emoji3] anasema amejikuta hivyo ofisini, sehemu ya chakula ya wafanya kazi asubuhi hakuna chai, ni soda, supu labda ukitaka mayai ya kukaanga. Zambia wanakunywa japo nao wakija huku wanadai watz ni wanywaji wazuri maana zetu kiwango cha ulevi ni kikubwa kuliko chao.Sasa kama tanzania ni wa 10 kwenye list na tunaona kwenye baa fujo zile je huyo wa kwanza kwenye baa inakuaje