Pre GE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata dkt Slaa aliandika kitabu kwamba chadema ni kigaidi , mbowe ni gaidi. Lkn Lema anataka Dr Slaa aingizwe kamati kuu na Lissu kamuachia dr Slaa nafasi hio. Ssbabu tu Dr slaa akimpinga Mbowe
 

..Nchimbi ni Katibu Mkuu wa CCM.

..Yeye ndiye msimamizi wa zoezi la kumpata mgombea Uraisi kupitia chama chao.

..Yeyote anayetaka fomu ya kugombea anatakiwa aipate toka kwa Katibu Mkuu / Nchimbi.

..Kwa hiyo Nchimbi amepewa nafasi ya Mgombea Mwenza ili kuwathibiti wote watakaotaka kugombea Uraisi kupitia CCM 2025.

..Pia inasemekana Nchimbi ni Mkatoliki hivyo atamsaidia Mama Abduli kuungwa mkono na Kanisa hilo na waumini wake.

..Maria Sarungi amekosea. Mtu kupewa nafasi ya Umakamu wa Raisi sio adhabu, kukomolewa, au kumalizwa kisiasa. Nchimbi atatunzwa na serikali mpaka kufa kwake bila kufanya kazi yoyote yenye lawama, au pressure.
 
By accident (though wanasema hakuna accident) na kipindi kile walihitaji change ili kupata kura, hata Magu mwenyewe alisema Samia hakuwa chaguo lake... isingekuwa uoga na uchawa huko chamani, Samia angeendelea kubaki kweli?
Ndii zile.hesabu zao za kuona mbali
 
Unaona atakuwa na nguvu/ushawishi hapo alipo?
Kwenye siasa siyo lazima mara zote uwe na nguvu za maamuzi.
Kumbuka alikotokea mh rais na mahali alipo leo.
Kumbuka pia nguvu alizokuwa nazo dr Bashiru Ali na mahali alipo leo.
Hiyo ndiyo siasa mkuu.
 
Wakati wa harakati za kumtafuta makamu wa rais baada ya mama kuna tetesi zilisambaa kuwa Dr Nchimbi arudi toka Brazil kuja kuwa makamu lakini nafikiri wataalamu wa hesabu za.mbali wakaona ngoja asubiri kwanza nafasi yake muhimu ipo 😎
Mzee wa msonga ni noma sana salut kwake.
 
Hiko chama kinajiendea tuu hakuna mipango zaidi ya kuiba kura.
Saivi ukikusanya watu kadhaa jimboni unakogombea ukawapa vi hela unapita bila kupigwa kwa Ccm🤣🤣
Yeye alipewa Onyo, vipi sasa huyu mbona mmemfukuza?
 
Mpango si alikuwa Mkatoliki pia na kapumzishwa? Yeye alimiss nini?
 
Hivi Sophia Simba yupo wapi huyu mama wa shoka???
 
CCM ni MAFIA. Watashinda hadi mshangae.

Mashine za kupiga kura wanazo wao, Vitambulisho vya taifa wanavyo wao,Daftari la kujiandikisha kupiga kura wanalo wao.

Watashindwaje sasa, na mifumo yoote itasomana muda sio mrefu.
 
Yote haya ni matokeo ya uchawa uliokosa ubongo na kutegemea utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…