Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

Kwamba Sheria, polisi, mahakama, kazi yake ni nini kwa wahujumu uchumi 🤔 hivi hawa watu wana akili timamu kweli 🤔 huyo bibi kizee mwenyewe anazidi kuizamisha nchi Kila kunapokucha upuuzi mtupu kabisa ccm 🚮🚮
Hapo ndipo zilipogota. Mengine unalazimisha tuuu.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke.

Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na nje ya nchi usiku na mchana na kuzishusha chini halafu hazitumiki kama ilivyokusudiwa, akatolea mfano wa mtu kuongeza idaidi ya manunuzi kuliko kinachohitajika bila aibu. Aliyasema hayo jana 7/6/2024 aliposimamishwa na wananchi katika mapokezi yake Korogwe-Tanga.

CCM mko serious kweli? Kuna Katiba, na Mahakama, zinafanya nini kuhakikisha sheria zinafuatwa? Kwanini tuna mhimili wa Mahakama kama kwa makusudi mnakula kwa urefu wa kamba zenu na hakuna chochote mnafanywa?

Hii ndio shida ya Rais (Mhimili wa serikali) kuwa na madaraka na nguvu kubwa kuliko wengine na yeye kuwa mteule wa viongozi Wakuu kwenye karibu taasisi zote nchini. Unatia aibu na kauli za kijinga namna hii utafikiri huna darasa hata moja kichwani.

Kweli imefika wakati hawa Chukuwachakomapema WAONDOKE TU MADARAKANI!
DUH?!
HIVI RAIA TUPO KWELI?!
 
Sio wachukuliwe hatua? Wameombewa for how many years? Wameacha?
 
Huyu Nchimbi kumbe ni takataka hivi.
 
Tuondoe sheria za nchi tuishi kwenye maombi. Niamini maombi yanalipa kuliko sheria za nchi, futeni mahakama boresheni nyumba za ibada.
Bora tuondowe sheria zote zenye macho,na tubakize sheria zisizokua na macho ya kubagua! Maana sheria za sasa kwa wengine zinafanya kazi,na kwa wengine zinakua bubuu hasa zikipenyeziwa rupia!!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke.

Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na nje ya nchi usiku na mchana na kuzishusha chini halafu hazitumiki kama ilivyokusudiwa, akatolea mfano wa mtu kuongeza idaidi ya manunuzi kuliko kinachohitajika bila aibu. Aliyasema hayo jana 7/6/2024 aliposimamishwa na wananchi katika mapokezi yake Korogwe-Tanga.

CCM mko serious kweli? Kuna Katiba, na Mahakama, zinafanya nini kuhakikisha sheria zinafuatwa? Kwanini tuna mhimili wa Mahakama kama kwa makusudi mnakula kwa urefu wa kamba zenu na hakuna chochote mnafanywa?

Hii ndio shida ya Rais (Mhimili wa serikali) kuwa na madaraka na nguvu kubwa kuliko wengine na yeye kuwa mteule wa viongozi Wakuu kwenye karibu taasisi zote nchini. Unatia aibu na kauli za kijinga namna hii utafikiri huna darasa hata moja kichwani.

Hii inamaanisha vyombo vya kuchukulia hatua majizi na mafisadi havina uwezo au vimeparaganyika kwa hio wanatafuta mbadala
 
Kwa hiyo ufisadi fresh tu,unafisadi halafu unaombewa uache,njaa ya uzeeni mbaya sana
 
Back
Top Bottom