tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Wanaingiza wakina Baba Levo na Mwijaku kuwa wabunge halafu wapitishe Katiba ya kuwalinda mafisadi wahuni watakaokuwa Wamepoka madarakani ya nchi!!CCM ndio inamiliki Katiba?
Mimi naona yupo upande wa wahuni kwani amewekwa na Kikwete kuwa makamu wa raisi ili aendeleze agenda zaoNchimbi naye amekuwa upande wa wahuni ingawa hatujui kama yupo pamoja nao kimwili (anasukuma kete tu) ama kiroho (amedhamiria).
Ni vigumu kuamini ahadi hii kwa sababu matakwa ya katiba mpya hajaanza sasa; yamaanza enzi za mkapa keleke zikazidi wakati was kikwete.Lakini hata minimal reform kuelekea uchaguzi mmekataa.Tuombe Mungu tu mwenye hakiMgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Nani alikwamisha? Mtakuwa mnafanya maamuzi mnavyotaka na kupanga wenyewe mnavyotaka? Nyie ndio wenye Mamlaka au wananchi?Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
NCHIMBI ni mwana mtandao damu damu!! Ameanza kumbebea mikoba Kikwete toka akiwa mdogo miaka mingi!! Ni chawa wa Kikwete proper ; chawa wenzie wakina Masaburi na Makongoro Mahanga wametamgulia mbele ya haki!Mimi naona yupo upande wa wahuni kwani amewekwa na Kikwete kuwa makamu wa raisi ili aendeleze agenda zao
Katiba mpya ni hitaji la wananchi... ccm ijiweke mbali na mchakato huo!Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Inatakiwa Katiba Mpya Bora na sio Katiba Mpya Bora Katiba Mpya.Kumbe hamtaki Katiba Mpya? Maana Mhe. Balozi Nchimbi kaeleza mwelekeo wa CCM bado kuna watu wanapinga.