Haya sasa ndiyo mawazo huru, huu muungano feki unafanya Tanzania hatupati rais kutoka vyama tofauti na mafisiemu.Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasa
Wanataka ushinde bara na Zanzibar huku wakijua Siyo CUF, ACT, wala chadema inaweza kupata kura za kutosha pande zote mbili.
HAta chadema wakishirikiana na chama tofauti kama Act kule Zanzibar wanaweza kushinda huku bara hawapati mnarudi kwenye SUK, ambao ni ujinga ule ule.