GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ccm inakatiba Yao

ya Tanzania ya wananchi anatusemeeje sisi sie wakutusemea ni LISU atakuja kutuambia chakufanya
 
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.

Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.

Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

View attachment 3462077

Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.

Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
CCM wanatuona kma makalio yao
 
Kiherehere Nchimbi watakuua hao.....ropoka tu mchakato katiba wakiunajisi na wewe wajua....sio zama za bi kidude labda ukipewa wewe na bwana wenu JK na RA......kuwa makini unachokisema......uzalendo utakuponza uko alone hata JW wame compromised......hakuna mzalendo any more sbb njaa
 
Tatizo sio katiba mpya tu, bali katiba mpya ya wananchi, na cha muhimu zaid kwenye hiyo katiba, kipengele cha Raisi kutoshtakiwa kitolewe.
 
Kwa uchaguzi upi?
Waache kupoteza pesa kuzunguka zunguka kufanya kampeni za bure wakati matokeo wanayo mifukoni, wajitangazie Ufalume tu maana maigizo ya uchaguzi yakekosa radha
 
Kiherehere Nchimbi watakuua hao.....ropoka tu mchakato katiba wakiunajisi na wewe wajua....sio zama za bi kidude labda ukipewa wewe na bwana wenu JK na RA......kuwa makini unachokisema......uzalendo utakuponza uko alone hata JW wame compromised......hakuna mzalendo any more sbb njaa
Uchaguzi wa maigizo na vyama pandikizi hohehahe njaa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
 
Hahaha waliwahi kusema wauaji wa Ali Kibao wangewekwa wazi baada ya siku 30.

Hao hao walusema inabidi tujifunze katiba iliyopo kwa miaka mitatu tuielewe.
Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasa
 
Ccm inakatiba Yao

ya Tanzania ya wananchi anatusemeeje sisi sie wakutusemea ni LISU atakuja kutuambia chakufanya
Dawa ni kuvunja muungano Tanganyika iwe Nchi huru ufanyike uchanguzi huru na haki pasipo maigizo ya ccm na vyama pandikizi
 
Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasa
Kuna wanaCCM wengi wamenyamaza safari hii kuogopa utawala unaweza kuwashambulia wakiongea, ila na uhakika wa asilimia 💯, Mzanzibar kuja kushika tena Uraisi wa TZ, ni karne ijayo, baada ya Sa100 kutoka madaraki hizo nyongo zitakazo mwagwa juu yake hato amini kuwa hawa walikuwa machawa wake, nimekaa pale.
 
Hata sasa wazanzibar bye bye kwani Utabiri wa Sheikh Yahya unaenda kutimia, mungu atatenda yaliyo yake, muungano pia ni wa kuuvunja ili Tanganyika iwe Nchi huru ijukomboe toka kwa wakoloni makaburu toka Zanzibar, Gambia na Senegal, Sudan kusini zilivunja muungano hata Yugoslavia Urusi korea walikuwa na muungano leo haupo sasa ni wakati Tanganyika iwe huru
 
Watch this space, kikubwa kwenye hiyo katiba itakuwa swala la serikali tatu.

Huyu mama anatabirika (halafu yeye mwenyewe) retirement yake anajenga bara. Immediate family members wake wanaishi bara.

Akili zake zinamtosha mwenyewe (hiyo katiba kwake ni kwa ushauri wa OMO) vinginevyo hajui lolote.

Watch this space in years to come.
 
Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru , ifanye uchaguzi huru na haki
 
Kumbe hamtaki Katiba Mpya? Maana Mhe. Balozi Nchimbi kaeleza mwelekeo wa CCM bado kuna watu wanapinga.
Siyo kwamba watu hawataki Katiba mpya, bali wanataka katiba inayotokana na maoni ya wananchi walio wengi(Katiba ya Warioba) ama mchakato urudiwe upya na si ile rasimu ya katiba pendekezwa iliyotokana na hila za Kikwete.

Katiba pendekezwa inaendeleza yale yale yasiyotakiwa na watu, inalinda maslahi ya viongozi.
 
Kila mtu akae kwake Tanganyika iwe huru sasa muungano ufe
 
Siyo kwamba watu hawataki Katiba mpya, bali wanataka katiba inayotokana na maoni ya wananchi walio wengi(Katiba ya Warioba) ama mchakato urudiwe upya na si ile rasimu ya katiba pendekezwa iliyotokana na hila za Kikwete.

Katiba pendekezwa inaendeleza yale yale yasiyotakiwa na watu, inalinda maslahi ya viongozi.
Watu kwa sasa wanataka Uchaguzi huru na haki chadema wawepo siyo vyama pandikizi pekee na ccm, Uchaguzi huru na haki ndiyo utawapa uwezo halali wa kuandaa katiba bora nzuri, lakini sasa Nchimbi yupo hapo kinyume cha katiba yeye na mama mkoloni kaburu waliteuliwa na kikwete kugombea Urais, hawana baraka za Wajumbe wa ccm, mchakato wa kuwateua ni magumashi matupu, kwa sasa muhimu ni uchaguzi huru na haki au kuvunja muungano Tanganyika iwe huru ifanye uchaguzi huru na haki hilo ndilo la muhimu na msingi zaidi
 
Back
Top Bottom