kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Ccm inaandaa rasimu, ccm inaipiga chini, ccm inaahidi katiba, baada ya muda ccm hii hii inasema katiba sio kipaumbele.🤦🤦
Ehuuuu matrekta mil 10 yaje tu tukalime.
CCM wanatuona kma makalio yaoMgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Kiherehere Nchimbi watakuua hao.....ropoka tu mchakato katiba wakiunajisi na wewe wajua....sio zama za bi kidude labda ukipewa wewe na bwana wenu JK na RA......kuwa makini unachokisema......uzalendo utakuponza uko alone hata JW wame compromised......hakuna mzalendo any more sbb njaaMgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
Kwa uchaguzi upi? Wapi?
Kwa uchaguzi upi?Tatizo sio katiba mpya tu, bali katiba mpya ya wananchi, na cha muhimu zaid kwenye hiyo katiba, kipengele cha Raisi kutoshtakiwa kitolewe.
Uchaguzi wa maigizo na vyama pandikizi hohehahe njaa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiKiherehere Nchimbi watakuua hao.....ropoka tu mchakato katiba wakiunajisi na wewe wajua....sio zama za bi kidude labda ukipewa wewe na bwana wenu JK na RA......kuwa makini unachokisema......uzalendo utakuponza uko alone hata JW wame compromised......hakuna mzalendo any more sbb njaa
Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasaHahaha waliwahi kusema wauaji wa Ali Kibao wangewekwa wazi baada ya siku 30.
Hao hao walusema inabidi tujifunze katiba iliyopo kwa miaka mitatu tuielewe.
Dawa ni kuvunja muungano Tanganyika iwe Nchi huru ufanyike uchanguzi huru na haki pasipo maigizo ya ccm na vyama pandikiziCcm inakatiba Yao
ya Tanzania ya wananchi anatusemeeje sisi sie wakutusemea ni LISU atakuja kutuambia chakufanya
Kuna wanaCCM wengi wamenyamaza safari hii kuogopa utawala unaweza kuwashambulia wakiongea, ila na uhakika wa asilimia 💯, Mzanzibar kuja kushika tena Uraisi wa TZ, ni karne ijayo, baada ya Sa100 kutoka madaraki hizo nyongo zitakazo mwagwa juu yake hato amini kuwa hawa walikuwa machawa wake, nimekaa pale.Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasa
Dawa yao ni kuvunja muungano tu ili mkoloni kaburu Dikteta arejee kwao Zanzibar, Tanganyika iwe Nchi huru ifanye uchaguzi huru na hakiCCM wanatuona kma makalio yao
Mzee wa kuona mbali huyu......kaiona 2025 akiwa 1995
Hata sasa wazanzibar bye bye kwani Utabiri wa Sheikh Yahya unaenda kutimia, mungu atatenda yaliyo yake, muungano pia ni wa kuuvunja ili Tanganyika iwe Nchi huru ijukomboe toka kwa wakoloni makaburu toka Zanzibar, Gambia na Senegal, Sudan kusini zilivunja muungano hata Yugoslavia Urusi korea walikuwa na muungano leo haupo sasa ni wakati Tanganyika iwe huruKuna wanaCCM wengi wamenyamaza safari hii kuogopa utawala unaweza kuwashambulia wakiongea, ila na uhakika wa asilimia 💯, Mzanzibar kuja kushika tena Uraisi wa TZ, ni karne ijayo, baada ya Sa100 kutoka madaraki hizo nyongo zitakazo mwagwa juu yake hato amini kuwa hawa walikuwa machawa wake, nimekaa pale.
Utabiri wa marehemu Sheikh Yahya unaenda kutimiaMzee wa kuona mbali huyu......kaiona 2025 akiwa 1995
Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru , ifanye uchaguzi huru na hakiWatch this space, kikubwa kwenye hiyo katiba itakuwa swala la serikali tatu.
Huyu mama anatabirika (halafu yeye mwenyewe) retirement yake anajenga bara. Immediate family members wake wanaishi bara.
Akili zake zinamtosha mwenyewe (hiyo katiba kwake ni kwa ushauri wa OMO) vinginevyo hajui lolote.
Watch this space in years to come.
Siyo kwamba watu hawataki Katiba mpya, bali wanataka katiba inayotokana na maoni ya wananchi walio wengi(Katiba ya Warioba) ama mchakato urudiwe upya na si ile rasimu ya katiba pendekezwa iliyotokana na hila za Kikwete.Kumbe hamtaki Katiba Mpya? Maana Mhe. Balozi Nchimbi kaeleza mwelekeo wa CCM bado kuna watu wanapinga.
Watu kwa sasa wanataka Uchaguzi huru na haki chadema wawepo siyo vyama pandikizi pekee na ccm, Uchaguzi huru na haki ndiyo utawapa uwezo halali wa kuandaa katiba bora nzuri, lakini sasa Nchimbi yupo hapo kinyume cha katiba yeye na mama mkoloni kaburu waliteuliwa na kikwete kugombea Urais, hawana baraka za Wajumbe wa ccm, mchakato wa kuwateua ni magumashi matupu, kwa sasa muhimu ni uchaguzi huru na haki au kuvunja muungano Tanganyika iwe huru ifanye uchaguzi huru na haki hilo ndilo la muhimu na msingi zaidiSiyo kwamba watu hawataki Katiba mpya, bali wanataka katiba inayotokana na maoni ya wananchi walio wengi(Katiba ya Warioba) ama mchakato urudiwe upya na si ile rasimu ya katiba pendekezwa iliyotokana na hila za Kikwete.
Katiba pendekezwa inaendeleza yale yale yasiyotakiwa na watu, inalinda maslahi ya viongozi.