Haya sasa ndiyo mawazo huru, huu muungano feki unafanya Tanzania hatupati rais kutoka vyama tofauti na mafisiemu.Muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huru Kaburu mkoloni Dikteta arejee kwao ufanyike uchaguzi huru na haki siyo maigizo ya sasa
Jwtz wamepewa nyongeza salary na magari nchi iko rehani kwa wana mtandao! Nani kuikomboa Tanganyika? Nashangaa sana jeshiletu kutekwa kisa madaraka na pesa....uko wapi uzalendo ?Uchaguzi wa maigizo na vyama pandikizi hohehahe njaa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi
Maajabu haya.Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.
Mchakato huo ulikwama mwaka 2014 kwenye hatua ya kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa. Tangu wakati huo, kumekuwa na mijadala kutoka makundi mbalimbali yakitaka mchakato huo ufufuliwe na ipatikane Katiba mpya yenye maoni ya Watanzania wengi.
Soma pia: Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa
View attachment 3462077
Katika Ilani ya CCM ya mwaka 2025/2030 ambayo chama hicho inainadi kwa wananchi, imegusia kuuendeleza mchakato huo.
Leo Jumatatu, Septemba 1, 2025, Dk Nchimbi akihutubia mkutano wa kampeni wa uchuguzi mkuu katika Uwanja wa CCM, Dutwa mkoani Simiyu amegusia suala hilo akisema, CCM itahuisha mchakato huo ili Katiba mpya ipatikane.
"Katiba ni kijitabu tu"Ccm inaandaa rasimu, ccm inaipiga chini, ccm inaahidi katiba, baada ya muda ccm hii hii inasema katiba sio kipaumbele.🤦🤦
Ehuuuu matrekta mil 10 yaje tu tukalime.
Watakuja kuwaambia watanzania kwamba katiba mpya haileti ugali mezani😡😡 😡Ccm inaandaa rasimu, ccm inaipiga chini, ccm inaahidi katiba, baada ya muda ccm hii hii inasema katiba sio kipaumbele.🤦🤦
Ehuuuu matrekta mil 10 yaje tu tukalime.
Ni kitu gani hasa kili washinda miaka yote hiyo ambacho sasa wako tayari kuachia katiba mpya? Wajinga ndio waliwao. Tume choka blablaa za mboga mbogaMgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema miongoni mwa ahadi za chama hicho kwa Watanzania endapo watapata ridhaa ya kuwatumikia, watakwenda kuuhusisha mchakato wa Katiba mpya.