Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Inawezekana kutofautisha serikali na CCM?!Hakika
2030 Kura yangu unayo 😄🙏
Ameongea vyema sana wacha tumpe maua yake🥀🏵️💐Maana kitu ambacho kinaharibu nchi ni Chama cha Siasa kinapo anza kufanya kazi za dola"
Wewe Unadhani ni kitu kimoja?Inawezekana kutofautisha serikali na CCM?!
Tayari kuna mkanganyiko ameongea kama Katibu mkuu wa CCM na hapo hapo ni mgombea mwenza kama makamu wa Raisi. Chama kilichokuwa madarakani ni CCM ambacho ni chama dola na Nchimbi ndio Katibu mkuu na mgombea pia.Hii kauki ya kujiepusha kuwa serikali itachanganya watu sasa hivi.
Vizuri sana, jamaa anajua siasa haswa siyo km manyumbu kazi yao kutukana, kutoa povu, kufokafoka, kutishia, kulazimisha. Siasa ni hoja, ushawishiKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kujiepusha kuwa Serikali, kwahiyo sisi sio taasisi ya uchunguzi wa fedha haramu, kwahiyo wenye kazi yao wataendelea wenye kazi yao wataendelea kutafuta fedha haramu, sisi kama Chama Cha Mapinduzi lazima tufanye kazi ya Siasa. Maana kitu ambacho kinaharibu nchi ni Chama cha Siasa kinapo anza kufanya kazi za dola"
Serikali haina cheo kinachoitwa mgombea mwenza. Mpaka sasa Nchinbi ni Katibu Mkuu wa CCM hana cheo serikalini.Tayari kuna mkanganyiko ameongea kama Katibu mkuu wa CCM na hapo hapo ni mgombea mwenza kama makamu wa Raisi. Chama kilichokuwa madarakani ni CCM ambacho ni chama dola na Nchimbi ndio Katibu mkuu na mgombea pia.
Umesikia kiongozi wa CCM akifanya kazi ya serikali? CCM mabingwa wa siasa wewee!Inawezekana kutofautisha serikali na CCM?!
Matapeli mnapeana moyoHakika
2030 Kura yangu unayo 😄🙏
Siamini banaSerikali haina cheo kinachoitwa mgombea mwenza. Mpaka sasa Nchinbi ni Katibu Mkuu wa CCM hana cheo serikalini.
Kuna contradiction katika maneno yake kwa sababu ingawa ni kweli CCM si serikali, lakininm pia, CCM kama chama tawala ndiyo inayounda serikali na serikali inatekeleza ilani ya CCM.
Ndiyo maana hakuna Waziri asiye mwanachama wa CCM.
Swali la muhimu ni hiki, kwa nini Nchimbi anakwepa wajibu kwenye suala la utakatishaji wa fedha?
Je, CCM inahusika katika utakatishaji wa fedha na Nchimbi anajua hilo na hiyo ndiyo sababu inayomfanya akwepe kujibu swali hiki moja kwa moja?
Katibu anacho ongea nivtafauti na mwenyekiti wake anacho fanya. Mwenyekiti kaenda kuchukuwa form ya kugombea uraisi kasindikizwa na jeshi na wafanyakzi wote wa uma wamelazimishwa kuhuzuria. Sasa Chimbi hela za msafara wa samia kwenda kuchukuwa form ,wewe kama katibu ulitowa gapi ?Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kujiepusha kuwa Serikali, kwahiyo sisi sio taasisi ya uchunguzi wa fedha haramu, kwahiyo wenye kazi yao wataendelea wenye kazi yao wataendelea kutafuta fedha haramu, sisi kama Chama Cha Mapinduzi lazima tufanye kazi ya Siasa. Maana kitu ambacho kinaharibu nchi ni Chama cha Siasa kinapo anza kufanya kazi za dola"
CCM ni chama cha majangili tupuWauza Majangili hapa ndo wanapata gepu mnaenda kualalisha hoja kwamba chama kimetekwa na wahuni maana kwenye hiyo Harambee pesa haramu unaikwepaje? Au pesa ya wahuni unaikwepagaje? Polepole mnaenda kumpa nguvu na kujenga hoja mashiko