Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Sawa.Money laundering ni kuchukua fedha inayotokana na vyanzo haramu(corruption,tax avoidance,drugs,robbery,huma trafficking,terrorism etc etc ) kuingiza mfumo halali wa kibenki (financial system)
Kuna stage 3 zinatumika
Placement(kuatamisha)
Layering (conceal the source)
Integration (into legitimate financial institution)
Mkuu naomba unirekebishe
Source :Google
Hili ni suala la Nchimbi tu au CCM kiujumla?Anachotaka Nchimbi ni hela tu, hakuna kingine, mfuatilie tangu UVCCM utamuelewa vizuri
Ni chama kizima, lakini Nchimbi kwa vile kajitokeza mbele ndio maana namzingatia, fuatilia kuanzia Mabasi ya wanafunzi akiwa UVCCMHili ni suala la Nchimbi tu au CCM kiujumla?
Kwanza kwa design ya makada wake hata hiyo ML hawaijui 🤣Sawa.
Sasa unahakikishaje CCM haifanyi mchezo huu?
Na hapo tumeongelea Money Laundering tu, hatujaongelea CCM kupokea pesa chafu, kitu ambacho hakihitaji Money Laundering kufanyika.
Unaweza kunionesha hata sera ya CCM ya kukataa Money Laundering au pesa chafu kwenye michango inayopokea?
Swadakta!Kwanza kwa design ya makada wake hata hiyo ML hawaijui 🤣
Na wengi wao ndo hela zinawaweka mjini so sisiemu na ML practices wana ethical conflict na hawana moral legitimate ya kuipinga
Ndio sasa yeye amesema anataka iwe hivyo 😳 !Inawezekana kutofautisha serikali na CCM?!
Mkuu,Kwanza kwa design ya makada wake hata hiyo ML hawaijui 🤣
Na wengi wao ndo hela zinawaweka mjini so sisiemu na ML practices wana ethical conflict na hawana moral legitimate ya kuipinga
hilo swali ungemuuliza Ndugu Polepole ingependeza sana !CCM utajiepushaje kuwa Serikali wakati Mwenyekiti wako wa CCM Taifa ndiye Mtendaji Mkuu wa Serikali yaani Rais wa nchi.
Unaisimamia Serikali....maana yake nini?Hii kauli ya kujiepusha kuwa serikali itachanganya watu sasa hivi.
Chama kinatakiwa kuiendesha serikali, kuisimamia, kuihakiki, kuiongoza.Unaisimamia Serikali....maana yake nini?
Sasa kama ccm haifanyi kazi ya serikali kwanini iliunda serikali inayoongozwa na chama cha ccm? Naomba nchimbi atujibu.Umesikia kiongozi wa CCM akifanya kazi ya serikali? CCM mabingwa wa siasa wewee!
Contradicting theories 😳 !Unaisimamia Serikali....maana yake nini?
Nchimbi unazidi kuchafua hali ya hewa hawa polisi wanaodhibiti chadema wanatetea serikali au chama cha mapinduzi??Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kujiepusha kuwa Serikali, kwahiyo sisi sio taasisi ya uchunguzi wa fedha haramu, kwahiyo wenye kazi yao wataendelea wenye kazi yao wataendelea kutafuta fedha haramu, sisi kama Chama Cha Mapinduzi lazima tufanye kazi ya Siasa. Maana kitu ambacho kinaharibu nchi ni Chama cha Siasa kinapo anza kufanya kazi za dola"
Binafsi nimestuka kwa jibu lile...labda atatoa ufafanuzi wakati mwingine.Chama kinatakiwa kuiendesha serikali, kuisimamia, kuihakiki, kuiongoza.
Nchimbi kaepuka wajibu wote huo.
Nashangaa na ninashangaa sana sana kwa kauli hii,aiseeKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kujiepusha kuwa Serikali, kwahiyo sisi sio taasisi ya uchunguzi wa fedha haramu, kwahiyo wenye kazi yao wataendelea wenye kazi yao wataendelea kutafuta fedha haramu, sisi kama Chama Cha Mapinduzi lazima tufanye kazi ya Siasa. Maana kitu ambacho kinaharibu nchi ni Chama cha Siasa kinapo anza kufanya kazi za dola"
Pengine yesInawezekana kutofautisha serikali na CCM?!
Nilichukua kwa uzingativu wa maelekezo ya kanuni, mwanzo jina ktk wilaya na mkoa liliondolewa but CCM nHQ wakalirudisha at late hours.Mkuu ulichukua fomu kimya kimya, vipi ulitoboa au wajumbe wamefanya yao