Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jamaa fix sana hawaU- TURN kabambe!
Huyu si karopoka kwamba hawataingilia majukumu ya serikali ya kuchunguza hela zilikotoka kama chafu au la!
Imekuwaje tena?
Nimeamini nguvu ya JF inatisha!
DaaaaahJamaa fix sana hawa
Ova
bombi hii nyumbii hii...wakikusikia Wanaku-mindHuyu toka achukue fomu, anajiona ni zaidi ya Rais, full matamko na amri, hebu akae atulizane. Lol
Ukweli ndio huo hizo billion 100 zimekwisha kusanywa kutoka kwenye contracts alizopewa muwezeshaji Rostam!! Na ubadhirifu aliofanya Bashe wizara ya kilimo; mkopo wa African Development Bank wa kuanzisha mashamba ya vijana fedha wamekwiba na kuzipeleka ccm.Hizo pesa mlishaZIIIBA KWENYE DILI LA SUKARI, SASA MNATAFUTA NAMNA YA KUTAKATISHA. NINA UHAKIKA , HIZO BIL 100 NA NI KODI ZETU WAZALENDO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, kuhusu mkakati wa kudhibiti pesa za Raia wa Kigeni amesema;
"Kwanza ni jambo muhimu sana kwasababu mkichangiwa na Mtu wa Nje mwenye nia mbaya inaweza ikatuletea shida, lakini tutakapokuwa tukiipokea michango tutaianisha kujua hii inatoka wapi?, ile ambayo inadhalilisha heshima! Au inapoteza Uhuru wa Taifa letu hatuwezi kuipokea. Niwahakikishieni hatuwezi kupokea michango inayopoteza Heshima ya Nchi yetu na kudhalilisha Utu wa Watanzania."
Zaidi soma hapa