Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo.
Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 2, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Dkt. Nchimbi amebainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshaunda Tume maalum ya kuchunguza kiini cha matukio hayo na tayari imeanza kazi. Amesisitiza kuwa kuendelea kuyazungumzia matukio hayo hadharani ni kinyume na mfumo wa kisheria na ni kutoitendea haki nchi.
Wewe hujamwelewa Nchimbi hapo, hata kusema anaogopa, kashindwa hata kutamka anaangalia angalia huku na kule aseme nini, alichosema ni matata yupo upande gani.Yupo mdau Lord Denning kila kukicha anakuja na mikwara ya serikali kupelekwa ICC, kila akilala usiku anaiota tarehe 29 October.
Wanaharakati mnamtengenezea sana ugomvi Nchimbi na bosi wake, sawa na mlivyofanya kwa hayati JPM na SSH miaka ile.Wewe hujamwelewa Nchimbi hapo, hata kusema anaogopa, kashindwa hata kutamka anaangalia angalia huku na kule aseme nini, alichosema ni matata yupo upande gani.
Anaunga maneno ya TLS President, hivi kama Samia Ushungi anasikia haya na wale mashehe wa ubwabwa watatokes wapi hapo? Controversial Nchimbi.
Kuongea ukweli bila kupotosha ni lazima katika safari ya healing. Mwigulu na mazafakas wenzake afadhali wakae kimya kama hawawezi kuongelea hayo machafuko bila kupindisha ukweli wa yaliyojili.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo.
Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 2, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Dkt. Nchimbi amebainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshaunda Tume maalum ya kuchunguza kiini cha matukio hayo na tayari imeanza kazi. Amesisitiza kuwa kuendelea kuyazungumzia matukio hayo hadharani ni kinyume na mfumo wa kisheria na ni kutoitendea haki nchi.
Viongozi wa Africa IQ zao ziko chini sana, sasa wafute somo la historia tusisome maji maji uprising Zazibar revolution nk, wakati hili la 29 Oct ni kubwa kupita hayo yote. Mtanzania ameamika hawezi kudanganywa tena amasa iko juu wanataka nchi yao ikobolewe tena.Wanataka ku silence watu wasiongee kuhusu mauaji oli wapoe! Usipoongea ni kuwa yameisha!
Hakuna anaemtengenezea ugomvi na bosi wake. Naturally wana tofauti tayari.Wanaharakati mnamtengenezea sana ugomvi Nchimbi na bosi wake, sawa na mlivyofanya kwa hayati JPM na SSH miaka ile.