PostGE2025 Nchimbi: Kuendelea kuzungumzia ya Oct 29 ni kutolitendea haki Taifa. Tayari Rais ameunda Tume

PostGE2025 Nchimbi: Kuendelea kuzungumzia ya Oct 29 ni kutolitendea haki Taifa. Tayari Rais ameunda Tume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna anaemtengenezea ugomvi na bosi wake. Naturally wana tofauti tayari.

Yeye mwenyewe Nchimbi katamka:

"YA RAIS NIMEMALIZA, HAYA HAPA KWA KWENDA MBELE SASA HAYA NI YA KWANGU MIMI VICE PRESIDENT".

Ndio akaanza kuwachana serikali wanaoongea shombo - Mmojawapo Mwigulu!

Akijua fika kwamba bosi anakubaliana na Mwigulu. Kwa saab hata yeye bosi anayasema hayo hayo akipata chance. Speech kwa Wazee wa Dar, speech kwa vijana Zanzibar. Bosi kasema kauli mbaya. za kuchoma kuzidi za Mwigulu. Kadai Vijana wa Dar hawana hamu tena, kwa saab nyi mkilianzisha sisi tukija hatuchagui. Wanamwaga njugu kama Somalia - maneno ya yule Sumai kwenye video anamimina machine gun huku anajisifia.

Nchimbi anajua bosi anakubaliana na shombo za Mwigulu. Yeye Vice President hakubaliani, ndo maana kasema haya sijatumwa, ili kumtumia ujumbe bosi kwamba MIMI SIKUBALIANI NA NYINYI, WEWE NA MWIGULU

Sasa hapo wanaharakati wanawagombanishwa kivipi ????????
Umemaliza ubishi
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo.

Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 2, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Dkt. Nchimbi amebainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshaunda Tume maalum ya kuchunguza kiini cha matukio hayo na tayari imeanza kazi. Amesisitiza kuwa kuendelea kuyazungumzia matukio hayo hadharani ni kinyume na mfumo wa kisheria na ni kutoitendea haki nchi.

Ya Oct 29 si ni pamoja na ushindi wa kimbunga wa 98%? Mara hii hawautaki huo ushindi?
 
Hakuna anaemtengenezea ugomvi na bosi wake. Naturally wana tofauti tayari.

Yeye mwenyewe Nchimbi katamka:

"YA RAIS NIMEMALIZA, HAYA HAPA KWENDA MBELE SASA HAYA NI YA KWANGU MIMI VICE PRESIDENT".

Ndio akaanza kuwachana serikali wanaoongea shombo - Mmojawapo Mwigulu!

Akijua fika kwamba bosi anakubaliana na Mwigulu. Kwa saab hata yeye bosi anayasema hayo hayo akipata chance. Speech kwa Wazee wa Dar, speech kwa vijana Zanzibar. Bosi kasema kauli mbaya, za kuchoma kuzidi za Mwigulu. Kadai Vijana wa Dar hawana hamu tena, kwa saab nyi mkilianzisha sisi tukija hatuchagui. Wanamwaga njugu kama Somalia - maneno ya yule Sumai kwenye video anamimina machine gun huku anajisifia.

Ndo maana Nchimbi anajua bosi anakubaliana na shombo za Mwigulu. Yeye hakubaliani, ndo maana kasema haya sijatumwa, ili kumtumia ujumbe bosi kwamba MIMI SIKUBALIANI NA NYINYI, WEWE NA MWIGULU WAKO!

Sasa hapo wanaharakati wanawagombanisha kivipi ????????
Hizi ni hisia zako, umezijengea hoja lakini kumbuka Samia alikubaliana na jina la Nchimbi baada ya kuteuliwa na wakubwa huko CCM, wote hao ni kitu kimoja.

Nchimbi huyo huyo alimsifu Mwigulu kwenye msiba wa Mhagama kule Songea ikachukuliwa ni kijembe kwa Dr Mpango, tafsiri zinaruhusiwa kwetu sisi watazamaji.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa, wanaharakati, na jamii kwa ujumla kuacha kurejea matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ili kuruhusu Tume ya Rais kukamilisha uchunguzi wake bila upendeleo.

Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 2, 2026, akiwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini, Dkt. Nchimbi amebainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameshaunda Tume maalum ya kuchunguza kiini cha matukio hayo na tayari imeanza kazi. Amesisitiza kuwa kuendelea kuyazungumzia matukio hayo hadharani ni kinyume na mfumo wa kisheria na ni kutoitendea haki nchi.
Naunga mkono hoja, hili na mimi nilishauri humu Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!
Screenshot 2025-12-31 at 08.34.02 (1).png

P
 
Back
Top Bottom