PostGE2025 Nchimbi: Kuendelea kuzungumzia ya Oct 29 ni kutolitendea haki Taifa. Tayari Rais ameunda Tume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umemaliza ubishi
 
Ya Oct 29 si ni pamoja na ushindi wa kimbunga wa 98%? Mara hii hawautaki huo ushindi?
 
Hizi ni hisia zako, umezijengea hoja lakini kumbuka Samia alikubaliana na jina la Nchimbi baada ya kuteuliwa na wakubwa huko CCM, wote hao ni kitu kimoja.

Nchimbi huyo huyo alimsifu Mwigulu kwenye msiba wa Mhagama kule Songea ikachukuliwa ni kijembe kwa Dr Mpango, tafsiri zinaruhusiwa kwetu sisi watazamaji.
 
Naunga mkono hoja, hili na mimi nilishauri humu Kwaheri 2025, Ulikuwa Mwaka wa Majanga!. Yaliyopita si Ndwele, Tugange Yajayo!. Karibu 2026, Uwe Mwaka wa Kheri!. Ni Mwaka wa Katiba Mpya!, Inakuja..!

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…