GE2025 Nchimbi Muongo sana, Eti Waloongoza wapewe Kipaumbele! CCM wanamtandao wameamua Kujichagulia Bunge lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni

Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi

Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu.

Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki .

FUNZO : UCHAGUZI MKUU NI UHUNI MTUPU USOKUA NA MAANA, AMBAO NI UPOTEVU WA MUDA, WANANCHI HAWACHAGUI, BADALA YAKE GENGE LA WAHUNI NDIO LINALOAMUA NANI AWE MBUNGE

CHADEMA TULILIONA HILI KWA MBALI SANA NA SASA NI DHAHIRI.

Mnabahati sana, Vile Uchaguzi Mkuu haupo !!.
 
ni kweli Uchaguzi haupo
 
Sentensi yako ya mwisho ni maneno tu ya vijiweni ambayo hayana uhalisia wowote. Ni yale ya vijiweni masela wakiwa wanacheza kamari wakiwa wanavuta bange halafu, upepo ukitikisa majani wanatimua mbio wakidhani ni Polisi.

Kuhusu kutoteulowa kwa baadhi ya walioongoza kwenye kura za maoni, kigezo kimoja kilichotumika ni matumizi ya rushwa ya wazi.

Rushwa ilikuwa imetamalaki katika maeneo mengi utadhani imeruhusiwa katika chaguzi za CCm. Na wengi walioonekana kutoa rushwa wazi wazi wameliwa vichwa.

Hata hivyo lichama hilo nilikuwa, watulie watapewa majukumu.mengine.

Pia wanatakiwa kushukuru hata kwa utumishi wao uliopita ndani ya Bunge, maana si.haba. Wenye akili maisha yataendelea hata bila ya Siasa. Mitaji wanayo ya kutosha.
 
CCM ndiye adui mkuu wa Taifa hili. Laiti wananchi wote wangekuwa na uwezo wa kulielewa hili, wote walitakiwa kuachana na CCM, wawaachie hao wahuni pekee yao na yale machawa yasiyo na akili wala uelewa.
 
HV HATA HILI WANACCM HAWATAJIFUNZA NCHI NZIMA KWELI.
 
TAKUKURU wapo?
 
TAKUKURU ndio Nini?
1756059764240.png

CCM ndiye adui mkuu wa Taifa hili. Laiti wananchi wote wangekuwa na uwezo wa kulielewa hili, wote walitakiwa kuachana na CCM, wawaachie hao wahuni pekee yao na yale machawa yasiyo na akili wala uelewa.
Umepotea sana Mkuu. CCM ni laana
 
Back
Top Bottom