GE2025 Nchimbi Muongo sana, Eti Waloongoza wapewe Kipaumbele! CCM wanamtandao wameamua Kujichagulia Bunge lao

GE2025 Nchimbi Muongo sana, Eti Waloongoza wapewe Kipaumbele! CCM wanamtandao wameamua Kujichagulia Bunge lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sentensi yako ya mwisho ni maneno tu ya vijiweni ambayo hayana uhalisia wowote. Ni yale ya vijiweni masela wakiwa wanacheza kamari wakiwa wanavuta bange halafu, upepo ukitikisa majani wanatimua mbio wakidhani ni Polisi.

Kuhusu kutoteulowa kwa baadhi ya walioongoza kwenye kura za maoni, kigezo kimoja kilichotumika ni matumizi ya rushwa ya wazi.

Rushwa ilikuwa imetamalaki katika maeneo mengi utadhani imeruhusiwa katika chaguzi za CCm. Na wengi walioonekana kutoa rushwa wazi wazi wameliwa vichwa.

Hata hivyo lichama hilo nilikuwa, watulie watapewa majukumu.mengine.

Pia wanatakiwa kushukuru hata kwa utumishi wao uliopita ndani ya Bunge, maana si.haba. Wenye akili maisha yataendelea hata bila ya Siasa. Mitaji wanayo ya kutosha.
Kwa Kinyiramba cha Kiswahili Tunasemaga Kumbiii 😳 ! 😳
Wanaendaga kupigania wapate mitaji tu 🙄!?
 
Sote tunateseka na kunyanyasika kwa sababu ya CCM na serikali yao, Samia na Kikwete must go.
 
Back
Top Bottom