Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
ni kweli Uchaguzi haupoNyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni
Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi
Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu.
Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki .
FUNZO : UCHAGUZI MKUU NI UHUNI MTUPU USOKUA NA MAANA, AMBAO NI UPOTEVU WA MUDA, WANANCHI HAWACHAGUI, BADALA YAKE GENGE LA WAHUNI NDIO LINALOAMUA NANI AWE MBUNGE
CHADEMA TULILIONA HILI KWA MBALI SANA NA SASA NI DHAHIRI.
Mnabahati sana, Vile Uchaguzi Mkuu haupo !!.
Sentensi yako ya mwisho ni maneno tu ya vijiweni ambayo hayana uhalisia wowote. Ni yale ya vijiweni masela wakiwa wanacheza kamari wakiwa wanavuta bange halafu, upepo ukitikisa majani wanatimua mbio wakidhani ni Polisi.Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni
Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi
Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu.
Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki .
FUNZO : UCHAGUZI MKUU NI UHUNI MTUPU USOKUA NA MAANA, AMBAO NI UPOTEVU WA MUDA, WANANCHI HAWACHAGUI, BADALA YAKE GENGE LA WAHUNI NDIO LINALOAMUA NANI AWE MBUNGE
CHADEMA TULILIONA HILI KWA MBALI SANA NA SASA NI DHAHIRI.
Mnabahati sana, Vile Uchaguzi Mkuu haupo !!.
Ummy kakatwa na wenye chama?Ummy
HV HATA HILI WANACCM HAWATAJIFUNZA NCHI NZIMA KWELI.Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni
Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi
Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu.
Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki .
FUNZO : UCHAGUZI MKUU NI UHUNI MTUPU USOKUA NA MAANA, AMBAO NI UPOTEVU WA MUDA, WANANCHI HAWACHAGUI, BADALA YAKE GENGE LA WAHUNI NDIO LINALOAMUA NANI AWE MBUNGE
CHADEMA TULILIONA HILI KWA MBALI SANA NA SASA NI DHAHIRI.
Mnabahati sana, Vile Uchaguzi Mkuu haupo !!.
TAKUKURU wapo?Sentensi yako ya mwisho ni maneno tu ya vijiweni ambayo hayana uhalisia wowote. Ni yale ya vijiweni masela wakiwa wanacheza kamari wakiwa wanavuta bange halafu, upepo ukitikisa majani wanatimua mbio wakidhani ni Polisi.
Kuhusu kutoteulowa kwa baadhi ya walioongoza kwenye kura za maoni, kigezo kimoja kilichotumika ni matumizi ya rushwa ya wazi.
Rushwa ilikuwa imetamalaki katika maeneo mengi utadhani imeruhusiwa katika chaguzi za CCm. Na wengi walioonekana kutoa rushwa wazi wazi wameliwa vichwa.
Hata hivyo lichama hilo nilikuwa, watulie watapewa majukumu.mengine.
Pia wanatakiwa kushukuru hata kwa utumishi wao uliopita ndani ya Bunge, maana si.haba. Wenye akili maisha yataendelea hata bila ya Siasa. Mitaji wanayo ya kutosha.
TAKUKURU ndio Nini?TAKUKURU wapo?
Lkn bado mnawafatilia na kuandika content zao 🔥Kuamini ccm ni sawa na kuamini Shetani
Eti TAKUKURU! Hovyo kabisa. Kati ya ma Idara ya Serikali yanayokula Kodi zetu bure ni hii. Hovyoooo
Umepotea sana Mkuu. CCM ni laanaCCM ndiye adui mkuu wa Taifa hili. Laiti wananchi wote wangekuwa na uwezo wa kulielewa hili, wote walitakiwa kuachana na CCM, wawaachie hao wahuni pekee yao na yale machawa yasiyo na akili wala uelewa.