Nchimbi na Makala are you ready!?

Makam hawezi kuwa kijana mwenye mihemko kama makonda. Kumbuka pamoja na majukumu mengine makamu pia ni Mwenyekiti wa kamati ndogo ya usalama na maadili hivyo wanateua mtu mwenye Busara na hekima ya hali ya Juu.

lakini pia mwenye uzoefu mkubwa kwenye chama asiyekuwa na makando kando.

Makonda kwa namna yoyote hawezi kufiti kwneye hiyo nafasi maana kuna kundi kubwa ambalo halimuungi Mkono.

Watu wenye nafasi kubwa ya Kupewa hiyo nafasi ni Wasira na Pinda
 
Bashi alitaka kumzibia mama baada ya mzee kufariki,bashi hawezi kupewa cheo chamani
 
Hujasikia kuwa amekata kamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…