Kabisa mkuu, tena zile za watu sampuli kama yako maana mko wengi mnoMakonda akiwa Makamu CCM watazoa kura zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, tena zile za watu sampuli kama yako maana mko wengi mnoMakonda akiwa Makamu CCM watazoa kura zote
Ndiye Makamu ajaye hakuna jinsi.Ni tahira tu ndiye anaweza kumteua kichaa na tahira Makonda kuwa makam!
Nafasi ya Nape hiyoKumbe Makonda ndiye mrithi wa Kinana? Safi sana
Bumunda mtukuka.Nafasi ya Nape hiyo
Bobu unaumwa uharo wa kakamegaKabisa mkuu, tena zile za watu sampuli kama yako maana mko wengi mno
Alitabiri au alimjulisha?Alimtabiria maisha BMK nadhani ndiye Sheikh Yahaya wake
Kwanini wasema naumwa? Au kusema watu kama wewe kwako nimekukosea ama nini? Au watu sampuli yako ni watu wa hovyo mpaka unitukane?Bobu unaumwa uharo wa kakamega
Bashi alitaka kumzibia mama baada ya mzee kufariki,bashi hawezi kupewa cheo chamaniNauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?
Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na mambo mengine ni mahsusi kwa ajili ya uteuzi wa makamo wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama baada ya alyekuwapo bwana Kinana kujiuzulu.
Hujasikia kuwa amekata kamba?Nauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?