Nchimbi na Makala are you ready!?

Nchimbi na Makala are you ready!?

Makam hawezi kuwa kijana mwenye mihemko kama makonda. Kumbuka pamoja na majukumu mengine makamu pia ni Mwenyekiti wa kamati ndogo ya usalama na maadili hivyo wanateua mtu mwenye Busara na hekima ya hali ya Juu.

lakini pia mwenye uzoefu mkubwa kwenye chama asiyekuwa na makando kando.

Makonda kwa namna yoyote hawezi kufiti kwneye hiyo nafasi maana kuna kundi kubwa ambalo halimuungi Mkono.

Watu wenye nafasi kubwa ya Kupewa hiyo nafasi ni Wasira na Pinda
 
Nauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?

Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na mambo mengine ni mahsusi kwa ajili ya uteuzi wa makamo wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama baada ya alyekuwapo bwana Kinana kujiuzulu.
Bashi alitaka kumzibia mama baada ya mzee kufariki,bashi hawezi kupewa cheo chamani
 
Nauliza tu tena kwa upendo, je, mpo tayari kufanya kazi na boss wenu mpya ( Bashi..)?

Chama cha Mapinduzi (Halmashauri kuu) kinatarajiwa kuitisha kikao cha dharula hivi karibuni ili pamoja na mambo mengine ni mahsusi kwa ajili ya uteuzi wa makamo wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama baada ya alyekuwapo bwana Kinana kujiuzulu.
Hujasikia kuwa amekata kamba?
 
Back
Top Bottom