Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

Kwanza kabisa suala si VP kutong'oka, suala ni VP anang'okaje?

Kwa sababu VP anayesimamia principle hatajali kama atang'oka au atabakia, atajali kusimamia peinciple yake.

Tundu Lissu hupo jela, anaweza kutoka akikubali masharti, lakini kakataa, kwa nini? Kwa sababu anasimamia peinciple.

Nchimbi hana principle anayosimamia. Hiko ndiko tqtizo la kwanza hapa kabla hujafika kwenye katiba.

Nxhimbi kasema tupiganie katiba.

Kama kweli anasimamia katiba, kwanza asingetoa hata ahadi inayompa Rais ngivu zisizo za kikatiba, kwamba Rais asipomtaka tu, atajiuzulu.

Vipi kama Rais hamtaki kwa sababu Raia anataka kuhujumu nchi na katiba, na Nchimbi kaapa kuilinda nchi na katiba, hapo napo Nchimbi ajiuzulu tu kwa sababu Rais hamtaki?

Mpaka hapo unaona huyu ni mtu anayewayawaya, hajui anataka nini.

Huku anawaambia Watanzania wapiganie katiba mpya. Anajinadi anasimamia katiba.

Huku hata yeye mwenyewe kashindwa kusimamia haki zake za kikatiba kazi surrender zote kwa Samia.

Kwa hivyo hapo unaona contradiction.

Huyu mtu hana principle.

Kabla ya kufika kwenye katiba huyu Nchimbi mwenyewe tu hana pronciple.

Mnailaumu katiba kwa uvivu tu. Mambo mengine hata hayajafika kwenye level ya katiba ni personal responaibility ya watu tu.
 
Uko kwenye sayari nyingine kabisa. That isn’t how things work here. Kwenye sayari uliyoko, Nchimbi asingepoteza hata huo uanachama wake. Kapoteza kwasababu fazafaka ndiyo NEC/CC.

Hata impeachment proceedings ambazo unatamani zingekuwepo, ungeweza kushangaa kuona Nchimbi anakuwa impeached bila hata kusikilizwa. Wewe jua kwamba kwenye hii nchi Rais ndiyo Bunge, at least in substance!
 
Wewe umekuwa stuck katika dunia uliyopo.

That is not how you change things.

You can't even imagine what is possible.
 
Mwanamchi gani alimpigia kura
 
Wewe umekuwa stuck katika dunia uliyopo.

That is not how you change things.

You can't even imagine what is possible.
You don’t change things by acting upon a wrong diagnosis or by spending your energy on what doesn’t matter!

Kugoma kujiuzulu kusingemsaidia chochote Nchimbi. No mazafaka has ever won a similar battle in our fvcked up system of government.

By the way, hakuna uhakika wowote kwamba hiyo taarifa kwa umma ameiandika yeye. You need to understand that this isn’t your everyday breed of government. It’s more a mafia group than a government of the people for the people. Mazafakas wanaweza kuwa wameshamweka kwenye house arrest.
 
Mpaka sasa hujaelewa point yangu kwamba Nchimbi hakuwa na principle, hakuwa na strategy, na hakuwa na insurance policy.

Hakuwa na principle ndiyo maana kajiunga katika serikali hii, angekuwa na principle asingejiunga.

Hakuwa na strategy ndiyo maana kawa naive kusema aliyosema kindezi akifikiri atabaki salama.

Hakuwa na insurance policy ndiyo maana katolewa.

Kushindwa kukataa kujiuzulu ni matokeo ya kutojitambua tu.

Mtu mwenye principle angeweza kukataa kujiuzulu on principle hata kwa kuonesha tu kuwa VP haondolewi kwa rais kutaka tu. That is a constitutional point. That matters.

Are you saying the constitution does not matter?

Nchimbi forfeited his constitutional right to be VP since he told Samia that she could dismiss her any time she wanted to.

Hakuna uhakika wowote kuwa hiyo taarifa ameiandika yeye kwa hiyo unasema hajajiuzulu?

Unasema nini? Nchimbi kujiuzulu ni sawa tu?

Au si sawa na hakuna uhakika kuwa hiyo barua kaiandika yeye?

You are all over the map.
 
Kugoma kujiuzulu doesn’t matter. Kwa mfumo huu tulionao, hakuna tofauti ya kukubali au kukataa kujiuzulu. Usipokubali kuachia ngazi, utaachishwa ngazi—tena effortlessly.

Hata kama Nchimbi hakuandika hiyo taarifa kwa umma, ndiyo imeshatoka hiyo. It’s over!

Hii ngoma sio ya mtu mmoja. Tool sahihi ya kupambana na hii mafia group ni nguvu ya umma. Ungekuwa unaulaumu umma wa Watanzania kwa kukubali mambo haya ya kipumbavu ningekuona una hoja. Unamlaumu bure Nchimbi. He did what he could muster individually. Mazafakas wengi wamekalia kuimba mama anaupiga mwingi, hata kama hawamaanishi.
 
Mpaka sasa hujaelewa kuwa nasema Nchimbi was checkmated the moment he joined this cabal.

Na kwamba ninapohoji kwa nini Nchimbi hajagoma kujiuzulu, that is immanent critique.
 
we ungeweza kufanya hivyo?
 
we ungeweza kufanya hivyo?
Logical non sequitur fallacy.

Hutakiwi kumuuliza mtu ambaye hajachagua maisha ya siasa kama angeweza kuishi maisha ya siasa.

Hajachagua maisha hayo.

Yani kama mimi ni seremala, si mpishi, nina haki ya kusema chakula hiki ni kibaya, mpishi huyu hajui kupika, hata kama mimi siwezi kupika.

Kwa sababu mimi si mpishi, mimi ni seremala.

Ndiyo maana ya kuchagua kazi katika maisha.

Pengine yeye hawezi ndiyo maana hakuchagua kuwa mwanasiasa.

Na kwa hiyo hatumdai kitu.

Lakini ukichagua kuwa mwanasiasa, mjadala unabadilika.

Kwa hiyo usimuulize swali la mwanasiasa mtu ambaye si mwanasiasa.
 
Mpaka sasa hujaelewa kuwa nasema Nchimbi was checkmated the moment he joined this cabal.

Na kwamba ninapohoji kwa nini Nchimbi hajagoma kujiuzulu, that is immanent critique.
Tufike mahali na sisi tuseme tunafanya nini kumaliza hili tatizo. These lone wolves won’t fix our problem!
 
Asante kwa majibu mazuri mkuu. Naamini muuliza swali atakuwa karidhika na hili jibu mujarabu na lililonyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…