Nchimbi: Tumuombe Mwenyezi Mungu Afunge Mageti ya Ikulu Dhidi ya Watu Wabaya, Wachonganishi

Kwa jicho la tatu utaona Nchimbi akielezea mapungufu ya bosi wake. Kila neno aliloliongelea ili liwekwe kwenye maombi ndiyo inatupa taswira sahihi kuhusu tabia za bosi wake.

Ametumia fursa hiyo kutoa ya moyoni, kweli akili ndogo ni ngumu sana kuiendesha akili kubwa.
Sidhani, sidhani sidhani
 
Hakuna jicho la tatu hapa, wote wauaji
 
Ubatili wa namba mbili ingawaje ni sawa kabisa na wa namba moja, lakini katika kufikisha ujumbe kwa hadhira wanatofautiana pakubwa sana.

Wakati namba mbili anatumia lugha ya kidiplomasia, namba moja kazi yake uropokaji, kupiga vijembe, na wakati mwingine matumizi ya lugha za kihuni.
 
Back
Top Bottom