Nchimbi, ukifanya kosa la kuishi bongo umeisha

Nataka kukupinga ila nikikumbuka walichomfanyia pole pole.
Naomba nikuunge mkono.
Hawa ccm sio watu wazuru unapowageuka kukutoa roho ni sekunde.nani alijua karibu wa itikadi na uenezi wa ccm mstaafu na balozi mstaafu atakuja kupotezwa?
 
Ilo lijamaa ndio jasusi sasa tusubiri mkono upigwe ni mwendo wa kuviziana,achana hawa wakina Kawaida wa juzi.
Atamzidi nini mtu ambae majeshi yote anayamiliki yeye? Yani akitoa tu order wanatii bila kufikiria mara mbili hata kama kitu sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…