StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kwa kweli Mungu atusamehe bure. Kuna majeraha ya maisha tunawasababishia binadamu wenzetu pasipo kujua!Itachukuwa muda sana.
Kila mmoja labda akiamua ndio inawezekana.
Mie ni muhanga wa bullies Tena Kwa mtu nliempenda.lakini Nina Ile akili ya kupuuzia mambo nasahau.
Athari zake ninazo mpaka Leo.
Sasa nikikumbuka na mie nilivyokuwa nabully bila kuwa na uelewa najikuta nasikitika.
Hii kitu ni hasara tunahitaji kubadilika.especially mbele ya watoto wasio na hatia.mbully hata jambazi ama muuaji ila mtoto hapana muache.ni mateso ya kiakili unampandikizia.