Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

Kwa kweli Mungu atusamehe bure. Kuna majeraha ya maisha tunawasababishia binadamu wenzetu pasipo kujua!
 
Inasikitisha sana, na kuna watu wapo mstari wa mbele kushabikia bullying...


Cc: Mahondaw
 
"BULLYING" ni moja ya misamiati inayotumika na wajanja kupiga pesa..

as long as binadamu tunapigania "DOMINANCE" hiyo bullying itakuwa nasi milele..

tuache kulia kulia, watu watayarishwe ili wajifahamu walivyo na jinsi ya kuja kupambana...
Mada ifungwe.....gademit!!!!

📌Only strong shall survive,the weak must perish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…