Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 19, 2026 #1 Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.