Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo; hapana hii ni bahati tu katika maisha hapa Duniani
Unapopata hii bahati unaweza ukajielekeza kutambua ugumu wa maisha ya walipa Kodi nakulia nao au unaweza ukajikalia usitake kufahamu chochote kuhusu Bei ya bidhaa na yoyote atakayelalamika lazima umnyamazishe asikupigie kelele.
Watu wasiopenda kuonekana wanaishi Kwenye jamii ya maskini wanaongezeka Kwa Kasi nchini, Watu wanaoamini wananchi wote wanalipiwa utility wanaongezeka nchini Kwa sababu tu Mwenyenzi MUNGU amewapa baraka zakufanikiwa. Kosa Moja wanalofanya nikumfanya MUNGU mkosaji pale aliporuhusu mwenye kipato kidogo aishi na tajiri aishi. Kibaya zaidi ni pale walio nacho wanapotaka kuziba mdomo MTU yoyote anayewatetea maskini na wasioweza kupaza sauti.
Tutawanyanyasa na kuwatesa ila riziki haizitakuwa malangoni mwetu milele. Kuna magonjwa, Kuna kustaa, Kuna kutumbuliwa, Kuna kifishwa nk. Sisi tuliopewa madaraka tusizione familia zetu na kazi zetu kama chanzo Cha upofu, tutambue maskini hapendi kuendelea kuwa maskini. Ombeni busara, kuweni wa Mwisho kusema, mkisema tambueni ninyi ni wanadamu siyo malaika