Ndalichako atoa hotuba iliyojaa pongezi na shukrani Mei Mosi 2022

Mlitaka aongee kisomi ili aingie kwenye kumi nane za chifu hangaya? Mmesahau kama mama kwa sasa hataki watu wenye kuonyesha uwezo au kukubalika kuliko yeye.

Mnawasikia kwa sasa hata mawaziri wakitoa takwimu za miradi mbalimbali au kuonekana wakiweka presha mambo yaende?

Kwa sasa ukimya wako ndio uwepo wako kwenye hii serikali. Ukitegeshewa kuongea we pongeza shukuru funga mjadala wako. Waachie wenyewe.
 
Ndio shida ya kuokotwa jalalani ukiwa huna la kufanya na huwezi kujiamini na kuwa mtu huru.Kwa kuwa hujui sifa ya wewe kuwekwa ktk cheo fulani unadhania kuwa umepewa hisani sana.
 
Labda ulikuwa hujawahi kusikia akiongea. Utakuwa ulimuadmire kwa title yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimewahi sana. Ila kuna kitu kilikua kinanivutia kwake.
 
Hakina Dr. Msukuma wana akili sana.

Kuna yule Kibajaj naye anayo akili nyingi sana, yaani kushinda baadhi ya hawa mapfofesa wetu
 
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima

Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa?

Kumsifia Rais au kunisaidia Rais?

Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti uliopo.

It's shamefully
Hivyo viporo vya mwendazake bado wanafikiri wapo kwenye enzi za kumsifu kiongozi wa malaika. 2025 Samia akiachia demokrasia kidogo wajiandae kutafuta kazi nyingine kama upinzani utaingia kwemye uchaguzi.
 
Mlitaka aongee kisomi ili aingie kwenye kumi nane za chifu hangaya? Mmesahau kama mama kwa sasa hataki watu wenye kuonyesha uwezo au kukubalika kuliko yeye.

Mnawasikia kwa sasa hata mawaziri wakitoa takwimu za miradi mbalimbali au kuonekana wakiweka presha mambo yaende?

Kwa sasa ukimya wako ndio uwepo wako kwenye hii serikali. Ukitegeshewa kuongea we pongeza shukuru funga mjadala wako. Waachie wenyewe.
Napenda Kukupa Hongera Umefikilia Mbali Naomba Kusema Una Akili Nyingi Sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndio shida ya kuokotwa jalalani ukiwa huna la kufanya na huwezi kujiamini na kuwa mtu huru.Kwa kuwa hujui sifa ya wewe kuwekwa ktk cheo fulani unadhania kuwa umepewa hisani sana.
Naomba Nikuulize Mkuu Wa Nchi Yeye Kaongea Kipi Kizuri,Au Unataka Ndalichako Akose Ugali?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
You're going to cell
EEEeeeHeeeee!

Tafsiri kwa wasioelewa maana yake ni kwamba "Unapelekwa mahabusu." Hicho ni kidhungu cha Profesa Ndalichako akimtisha jamaa fulani huko mitaani.

Huyu ana Ph.D., ya nini? Hesabu!

Watu kama hawa wangebaki tu huko huko kwenye taaluma zao wangelifaidisha zaidi taifa kuliko kuwaweka kwenye maeneo wasiyokuwa na uwezo nayo kabisa.

Niliwahi kudhani kuwa huyu mama anaweza kitu, wakati alipokuwa kule kwenye mitihani. Kumbe ni mtu wa shida tupu!
 
Waziri wa Kazi ni Mwakilishi wa Serikali sio wa Wafanyakazi na leo msemaji Mkuu upande wa Serikali ni Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

msemaji wa Watumishi ni Mwenyekiti wa Vyama vya wafanyakazi na kama mnataka mtu wa kusema shida na madai yenu basi ni huyo

ki Protocal kazi ya Waziri wa kazi leo ni ndogo sana na ndio hiyo kaifanya
Duh.

Sycophant per excellence!
Mambo haya huwa mnayapata kwenye semina zenu au siyo?
Wizara ya kazi ni kusifu na kupongeza aliyeiunda, haina majukumu mengine yoyote?

Actually, binafsi ninakuelewa vyema sana, kwa sababu una 'track record' ya tabia za namna hiyo zinazoonekana katika maandishi yako yote humu JF.
 
Kuna uwezekano Kila kiongozi Nchi hii anaweza kuonekana na watu walio wengi kuwa hafai,nadhani sababu kubwa ya hili ni kuwa majukumu ya msingi ya uteuzi wake anapewa na mteuzi mkuu..
Sisi twaweza ona kuwa kiongozi flani hafai,lakini mteuzi akaona kuwa huyo ndiye jembe
Inawezakana sababu kubwa ya Jambo Kama hili ni viongozi pamoja na sisi wananchi hatuna dira ya tuendako na ni Nini tunachokihitaji,kwa hiyo Kila mmoja wetu anayo dira yake na maono yake,
Kwa Hali Kama hii wapo viongozi wengi tu wanaonekana kutofaa kwenye nafasi zao kwa kuwa hatuna vipimo vya pamoja juu ya majukumu ya kiongozi husika au akaonekana anafaa kwa baadhi ya watu kwa kuwa hatuna vigezo vya pamoja vya kuwapima
 
Ndio shida ya kuokotwa jalalani ukiwa huna la kufanya na huwezi kujiamini na kuwa mtu huru.Kwa kuwa hujui sifa ya wewe kuwekwa ktk cheo fulani unadhania kuwa umepewa hisani sana.
Kumbuka hicho ni cheo cha kisiasa. Utafanya kulingana na matakwa ya aliye juu yako. Kama leo anaweza kukutoa huku na kukuweka kule utasema una uhuru gani? Labda kama hutaki kufanya nae kazi.
 
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima

Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa?

Kumsifia Rais au kunisaidia Rais?

Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti uliopo.

It's shamefully
Ndalichako hajawahi kujitambua nilimdharau tangu alipoanza kuhangaika na rangi za bendera ya taifa wakati kuna mambo mengi muhimu hayaendi
 
nakupongeza kwa kunipongeza

Back
Top Bottom