Ndanda FC 15/09/2018 Tutakua Mlangoni Kwenu.. Mjiandae.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Kuelekea mtanange wetu dhidi ya Ndada FC, huko Nangwanda Sijaona 15/09/2018 (Jumamosi ya wiki hii).. Hebu tuangalie mbili tatu za Simba SC katika kipindi hiki cha International Break.
Kipindi hiki kimekua na faida kwetu kwani, tumeuwasha moto vilivyo kila kona. Hali hii inanifanya niwaonee huruma sana Ndada FC. Kwanini? Ungana nami;
1. Kagere alipata mazoezi ya kutosha pale timu yake ya Rwanda ilipopambana na miamba Ivory Coast. Achilia mbali na ile stori ya kumlaza na viatu beki bora duniani, Erick Bailly, jamaa aliingia kambani siku hiyo. Pia siku hiyo Niyonzima alichowafanya hao jamaa, hawatakisahau.
2. Le Capitain, Bocco alitupia kambani goli 2 dhidi ya timu yenye beki ngumu kabisa ukanda huu wa CECAFA, AFC Leopards. Kama si "ubishi" wa Amunike haya magoli yalitakiwa yafungwe nchini Uganda.
3. Ubovu wa uwanja ulimzua 'CR7 wa Uganda Okwi kufanya yake pale nchini Uganda.. Ila shughuli aliyowapa mabeki wa timu yenye wachezaji wenye uraia wa Tanzania, haikua nyepesi. Wenyewe walikiri kama uwanja ungekua vizuri, siku hiyo walikua wanaaibika.
4. Unamkumbuka Juuko Murshidi.. Huyu jamaa alimuweka kabisa mfukoni, Mtanzania pekee aliyetungiwa nyimbo na Wazungu, Samata.
5. Yule kiungo mwenye uwezo wa kufunga, kupiga pasi ndefu na fupi, anayeweza kutumia nguvu na anayeweza kushindana na viungo wagumu, Ndugu Chama alikiwasha katika timu yake ya Taifa, ya Zambia. Aliiupiga mwingi mnoo asikuambie mtu.
6. Marcel Kaheza alianza kurudisha hela yetu kwa kufunga goli ambalo tumezoea kuliona EPL pekee, sasa jamaa ameanza kuyaleta magoli sampuli hiyo Tanzania. Niseme nini Kuhusu Mo Ibrahim?! Kwa mpira alioupiga dhidi ya AFC Leopards, amempa kocha wakati mgumu sana kupanga 1st eleven.

Natanguza Pole zangu za dhati kwa Ndada Football Club.

Nikiripoti toka Kigali International Airport.. Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Malatu Voice)
 
msije tu badae mkaanza kusema kuwa mnahujumiwa maneno mengi mpira hamna simba bhana sijui mna laana ya asili
 
Naungana mkono na wewe kama Ndugu yangu Kambi bado yuko huko Mtwara ndanda haiwezi kushinda
 
msije tu badae mkaanza kusema kuwa mnahujumiwa maneno mengi mpira hamna simba bhana sijui mna laana ya asili
Mkuu mpaka sasa tumecheza mechi 2 za ligi kuu dhidi ya timu ngumu kweli, na pote tumeshinda, huku tukitoka na clean sheet na tukiongoza kwa possession katika gemu zote 2. Kama hiyo ndo laana ya asili, na tuzidi kulaaniwa.
 
Tunangojea wakati wa kuw sehemu korofi
Hahaha.. Mkuu nikafanye nini huko? Labda nikwambie kitu, kila Mnyama anapoingia dimbani kwetu sisi wanachama na mashabiki kindakindaki wa Mnyama, hua ni zaidi ya sherehe ya Mwaka Mpya, Christmass au Eid.. Sasa Mkuu hizi sherehe zote nimwachie nani? Karibu Nangwanda Sijaona Jumamosi.
 
Ninachokupendea mtani upo kama Alisayafu yule msemaji wa Iraq enzi ya Sadamu
 
Unazi mbaya, kama huyo Kagere na Niyonzima walipiga mpira wa hatari dhidi ya Ivory Coast na 'kuwalaza na viatu' mbona walichezea kichapo kwenye uwanja wao wa nyumbani?

Vv
 
Hahaha.. Mkuu tofauti yangu na yake ni kua mimi namwaga Facts.. Yule alikua akimwaga Porojo.
 
Unazi mbaya, kama huyo Kagere na Niyonzima walipiga mpira wa hatari dhidi ya Ivory Coast na 'kuwalaza na viatu' mbona walichezea kichapo kwenye uwanja wao wa nyumbani?

Vv

Mkuu hebu angalia hili jeshi la makamanda 23 lililovamia Rwanda;

Goalkeepers: Sayouba Mande (OB/Danemark), Badra Ali (Free State Stars/South Africa), Gbohouo Sylvain (TP Mazembe/DRC)

Defenders: Eric Bailly (Man United/England), Serge Aurier (Tottenham/England), Kanon Wilfried ( ADO Den Haag/ Holland), Traoré Adama (Göztepe/Turkey), Kone Lamine (Strasbourg/France) and Ghislain Konan (Stade de Reims/France)

Midfielders: Serey Die (FC Basel/Swiss), Ahoulou Eudes (Monaco/France), Franck Kessie (Milan AC/Italy), Seri Jean Michaël (Fulham/England), Doukouré Cheick (Levante/Spain) and Serge N’Guessan (Nancy/France)

Forwards: Kodjia Jonathan (Aston Villa/ England), Assale Roger (Young Boys/Swiss), Pépé Nicolas (Lille/France), Max Gradel (Toulouse/France), Bayo Vakoun (Dunajská Streda/Slovaquia) and Maxwel Cornet (Lyon/France).

Meddie Kagere a.k.a MK14 na 'Fundi' Haruna Niyonzima walipambana sana ila mwisho wa siku hawakufanikiwa. Natamani ungekuwepo uwanjani ushuhudie walichokifanya.
 
Mkuu hebu angalia hili jeshi la makanda 23 lililovamia Rwanda;

Goalkeepers: Sayouba Mande (OB/Danemark), Badra Ali (Free State Stars/South Africa), Gbohouo Sylvain (TP Mazembe/DRC)

Defenders: Eric Bailly (Man United/England), Serge Aurier (Tottenham/England), Kanon Wilfried ( ADO Den Haag/ Holland), Traoré Adama (Göztepe/Turkey), Kone Lamine (Strasbourg/France) and Ghislain Konan (Stade de Reims/France)

Midfielders: Serey Die (FC Basel/Swiss), Ahoulou Eudes (Monaco/France), Franck Kessie (Milan AC/Italy), Seri Jean Michaël (Fulham/England), Doukouré Cheick (Levante/Spain) and Serge N’Guessan (Nancy/France)

Forwards: Kodjia Jonathan (Aston Villa/ England), Assale Roger (Young Boys/Swiss), Pépé Nicolas (Lille/France), Max Gradel (Toulouse/France), Bayo Vakoun (Dunajská Streda/Slovaquia) and Maxwel Cornet (Lyon/France).

Meddie Kagere
a.k.a MK14 na 'Fundi' Haruna Niyonzima walipambana sana ila mwisho wa siku hawakufanikiwa. Natamani ungekuwepo uwanjani ushuhudie walichokifanya.
Majina tu hayo na wote wanatumia miguu miwili. Wakija Afrika wanacheza kiafrika.

Vv
 
Back
Top Bottom