Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini.
Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana yanatoka kwa muda fulani tu kitu ambacho kinasababisha foleni kubwa, watu sasa hawafanyi kazi za uzalishaji badala yake wanaenda kukaa kwenye foleni!.
Mbunge wa Ndanda, mh Mwambe unafanya kazi nzuri sana, lakini liangalie hili, leteni maji msitegemee tu misheni!!