NDANDA VS YANGA

NDANDA VS YANGA

Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
 
Bado Azam anawasubiri.Aisee Yanga mna taabu

Yule kocha mwenye vyeo Vingi:Kocha,Naibu Afisa-Habari,Mfadhili asiye rasmi,na Mganga wa Yanga Afrika Mwinyi Zahara ameishiwa mbinu?
Umesahau wazee wa kamwene pia wanaisubiri yanga. Mwaka wa tabu tena tabu haswa maana simba inawapa tabu zaidi kufanya vizuri.
 
Wewe kweli ni mikia fc kindaki ndaki! Goli kafunga Pappy Tshishimbi akitumia vizuri krosi ya mkongwe Kelvin Yondani aliyepanda upande wa kushoto; halafu wewe unasema kafunga Jaffary Mohamed!/Hayo matokeo ulisimuliwa au uliangalia mpira mwenyewe?
Nasikia tambwe alifunga penati ikakataliwa.
 
Nasikia tambwe alifunga penati ikakataliwa.

Ni bahati mbaya tu alikuwa amesinzia wakati anapiga kutokana na umri kumtupa mkono. Tunashukuru tu hata kwa hiyo pointi moja tuliyoipata ugenini ingawa ushindi ulihitajika zaidi.
 
Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Yani wewe unayemzani, utakuta yeye malengo yake yameshatimia ila kafanyiwa surprise.
Vile unapokua ushangai kwa matokeo ya yanga , mwisho utakuta unayesubiri anyanyaswe mwisho wa ligi ananyanyua kwapa tena.
Labda kwa vile ni shabiki na si mwanachama wa Yanga Ndo mana ushangai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo busy tunatafuta tickets za Tp Mazembe
1062854
 
Aisee Shadeeya nini kimewakuta watani, ndio tuseme kwamba mmekubali kiwepesi /kirahisi /kinyonge namna hii kumwacha Mfalme wa nyika mwenye kuogopeka si mwingine naye ni Simba SC anyakue kombe la TPL kwa msimu wa pili mfululizo?

Simba nguvu moja
Yaani. Hapa matumaini kwetu yashafifia Mtani.

Wacha tugange ya FA sasa huenda tukafuta machungu.
 
Back
Top Bottom