NDANDA VS YANGA

NDANDA VS YANGA

Habari hujazio kweli dada akee na ndanda
Nimeziona mida hii. 🙈🙈. Wajua tena huku kwetu pembezoni Umeme ulivyo wa mushkeli. 😀😀😀

Umemisika tu dada wa mie!

Vp Kesho nkupitie twende zetu kwa Mkapa? 😅
 
Nimeziona mida hii. [emoji85][emoji85]. Wajua tena huku kwetu pembezoni Umeme ulivyo wa mushkeli. [emoji3][emoji3][emoji3]

Umemisika tu dada wa mie!

Vp Kesho nkupitie twende zetu kwa Mkapa? [emoji28]
Umemisika pia dada ake nipitie twende taifa kama kawaida mazembe hatoki
 
Umemisika pia dada ake nipitie twende taifa kama kawaida mazembe hatoki
Ewaaaaa. Uvaage tu ile jezi yako ya Simba na mie nina ya Juventus nitaivaa instead of jezi ya Mazembe. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom