Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Tutaboa na hiyo pia Mkuu.Mkitoboa kwa Lipuli,yupo Azam atawasubiri fainali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaboa na hiyo pia Mkuu.Mkitoboa kwa Lipuli,yupo Azam atawasubiri fainali.
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na kuiona ijumaa Ingine.Kumekucha Mtani, siyo mbaya.
Habari hujazio kweli dada akee na ndandaSijambo Dada Alhamdulillah. Kuna habari gani kwani hapa? [emoji12]
Nimeziona mida hii. 🙈🙈. Wajua tena huku kwetu pembezoni Umeme ulivyo wa mushkeli. 😀😀😀Habari hujazio kweli dada akee na ndanda
Umemisika pia dada ake nipitie twende taifa kama kawaida mazembe hatokiNimeziona mida hii. [emoji85][emoji85]. Wajua tena huku kwetu pembezoni Umeme ulivyo wa mushkeli. [emoji3][emoji3][emoji3]
Umemisika tu dada wa mie!
Vp Kesho nkupitie twende zetu kwa Mkapa? [emoji28]
Sawa tusubiri tuone mtani.I think this time hatutakuwa kama ile mechi iliyopita. We subiri uone Mtani.
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima na kuiona ijumaa Ingine.
Ewaaaaa. Uvaage tu ile jezi yako ya Simba na mie nina ya Juventus nitaivaa instead of jezi ya Mazembe. 😀😀😀Umemisika pia dada ake nipitie twende taifa kama kawaida mazembe hatoki
Yah. Time will tell Mtani.Sawa tusubiri tuone mtani.
🙏🙏🙏🙏Amen, tuko pamoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ewaaaaa. Uvaage tu ile jezi yako ya Simba na mie nina ya Juventus nitaivaa instead of jezi ya Mazembe. [emoji3][emoji3][emoji3]
Kila la kheri Dada.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naachaje kuvaa jezi yangu mm kesho mazembe hatokiiii
Ameen dada [emoji120][emoji120][emoji120] itoke moyoni sasaKila la kheri Dada.
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti Dada LolAmeen dada [emoji120][emoji120][emoji120] itoke moyoni sasa
Mie ni Mtanzania ila nina Ukongo kwa mbaaaaali. 🙈🙈🙈Ameen dada [emoji120][emoji120][emoji120] itoke moyoni sasa
Hahahaaa. Nimecheka kwa sauti Dada Lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila tukifungwa ni faida kwa yanga eti eeenhMie ni Mtanzania ila nina Ukongo kwa mbaaaaali. [emoji85][emoji85][emoji85]
Hivyo hata ikitokea mmeshinda ni faida kwetu pia Watanzania Dada.
Ewaaaaaaaaaaaa. 😅😅😅😅😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila tukifungwa ni faida kwa yanga eti eeenh
Hilo tunalifahamu mbonaEwaaaaaaaaaaaa. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😀😀😀😀 Umzima lakini Dada?Hilo tunalifahamu mbona
Hahhahahah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umzima lakini Dada?