LosersMatokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu ananda kunyanyaswa kjinsia.
Umesahau wazee wa kamwene pia wanaisubiri yanga. Mwaka wa tabu tena tabu haswa maana simba inawapa tabu zaidi kufanya vizuri.Bado Azam anawasubiri.Aisee Yanga mna taabu
Yule kocha mwenye vyeo Vingi:Kocha,Naibu Afisa-Habari,Mfadhili asiye rasmi,na Mganga wa Yanga Afrika Mwinyi Zahara ameishiwa mbinu?
Nasikia tambwe alifunga penati ikakataliwa.Wewe kweli ni mikia fc kindaki ndaki! Goli kafunga Pappy Tshishimbi akitumia vizuri krosi ya mkongwe Kelvin Yondani aliyepanda upande wa kushoto; halafu wewe unasema kafunga Jaffary Mohamed!/Hayo matokeo ulisimuliwa au uliangalia mpira mwenyewe?
🐸🐸🐸🐸🐸🐸Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Nasikia tambwe alifunga penati ikakataliwa.
Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Yani wewe unayemzani, utakuta yeye malengo yake yameshatimia ila kafanyiwa surprise.Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Ngoja mtolewe na FA ndio mjue umbeya gharama sababu ligi kuu mmekuwa wapole.Matokeo anayopata Yanga msimu huu mimi sijali kwa kikosi alichonacho na hali yenyewe ya uchumi. Mimi ninachojali Jumamosi kuna mtu anaenda kunyanyaswa kjinsia.
Nasubiri kuwaona watakavyopendeza.Nasikia Yanga Mtwara, wamepata sare ya kuvaa Jumamosi [emoji23] [emoji23]
Kiherehere hiki kitaisha lini?
Naona leo mmetupata Mtani.
Mtani miwani nimeacha nyumbani. Nisaidie kusamaraiz hebu.
Yaani. Hapa matumaini kwetu yashafifia Mtani.Aisee Shadeeya nini kimewakuta watani, ndio tuseme kwamba mmekubali kiwepesi /kirahisi /kinyonge namna hii kumwacha Mfalme wa nyika mwenye kuogopeka si mwingine naye ni Simba SC anyakue kombe la TPL kwa msimu wa pili mfululizo?
Simba nguvu moja