Historia itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa.
Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa uzito zaidi kuliko maslahi ya taifa?
Hivyo nawasihi wanaccm kataeni kumteua rais Samia kuwa mgombea urais 2025,kwasbabu kashindwa:-
*Kudhibiti mfumko wa bei.
*Kudhibiti ufisadi serikalini.
*Kuujenga na kuukuza uchumi.
Rais huyu ni muumini wa kukopa tu,
Vaeni ujasiri wa Mkwawa na Nyerere ktk kulipigania taifa.